Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

Kuna demu aliniomba nauli aje songea ye anakaa morogoro nilivomtumia ndio ikawa mwisho wa mawasiliano.... Ikapita miez 3 akanitafuta tena na kuleta visingizio visivo na kichwa wala miguu kisha akasema nimtumie tena saiv yuko free atakuja

ITAENDELEA
 
Mkuu finally umeamua kuwasemea wahanga wengi wa hili. Kuongezeka kwa social networks imewafanya wanawake wabuni njia mpya ya kujiingizia fedha bila usumbufu na ukata huu we acha tu, mbumbumbu wa mapenzi wanaliwa sana. Ukienda badoo, tango, bongo five, facebook na mingineyo kumtongoza demu na kukubaliwa ni kawaida sana ila jiandae kutolewa fedha kupitia njia ya nauli ili akufuate ulipo hahaha
Kweli mkuu watu wanapigwa balaa!
 
Ni kweli unamwambia aje atakipata anachokitaka na nauli yake itakua refunded!
 
Je ukiwa ulishamkata, na anataka nauli harafu hakuja hapo inakaaje?

Mi nafikiria mfumo mzuri akope aje aliwe harafu alipwe
Kama ushawahi mkata jipime kama ulitoa dozi ya kutosha au ulimchafua tu!
 
Mkuu finally umeamua kuwasemea wahanga wengi wa hili. Kuongezeka kwa social networks imewafanya wanawake wabuni njia mpya ya kujiingizia fedha bila usumbufu na ukata huu we acha tu, mbumbumbu wa mapenzi wanaliwa sana. Ukienda badoo, tango, bongo five, facebook na mingineyo kumtongoza demu na kukubaliwa ni kawaida sana ila jiandae kutolewa fedha kupitia njia ya nauli ili akufuate ulipo hahaha
Yaani hapo unawaomba wanaume 10 nauli na wote wanatuma buku 10... Daah raha sana
 
natoka kudaiwa nauli hapa, nimemwambia niko ifakara nanunua mchele, yeye kasema huko huko nimtumie nauli atakuja, hii kitu ni kweli
 
Kweri kabisa. Hiri swara razima uwe makini. Nauri sio ya kutuma. Razima utumie akiri.

Wamekua wajanja sana rakini dawa yao ipo jikoni inachemka. Raramiko rangu ni kwamba mreta mada apunguze kutumia ra ra ra kira kwenye neno nauri..
Yaani nilianza patwa na hasira na hizi ra ra ra kwenye post yako
 
Kuna demu aliniomba nauli aje songea ye anakaa morogoro nilivomtumia ndio ikawa mwisho wa mawasiliano.... Ikapita miez 3 akanitafuta tena na kuleta visingizio visivo na kichwa wala miguu kisha akasema nimtumie tena saiv yuko free atakuja

ITAENDELEA
tunasubili
 
Ilinitokea wiki iliyopita aisee, baada ya kumtumia nauli akaanza mara ooh kesho yenyewe sina uhakika saana, nikipewa ruhusa nitakuja nisipopewa ruhusa sitakuja. Nikaona huu ni ujinga nilichomfanyia yule demu hatakuja kusahau, niliwapigia voda simu na nikawaambia nimekosea kutuma hela kwenda namba fulani kwahiyo naomba muirudishe hiyo hela, punde nikaletewa sms kuwa ile hela imerudi. Tangu cku ile nimejifunza sana na yule manzi kapiga simu sikupokea.

USITUMIE NGUVU TUMIA AKILI
 
Haaa sitoagi nauli, nimemsafirisha mtoto mmoja toka Masaki mtoto wa Mtumishi mmoja wa Wizara ya Maliasili kuja Tabata kaja kwa nauli zake akapigwa na Lodge akalipa yeye. Sitakagi ujinga
 
Kama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la tukio. Watasingizia visababu kibao vya kijinga.
mimi kama mwenyekiti wa WWI ( wazee wa importation) nimechoka kusuruhisha migogoro ya aina hii kwa hiyo nasema, "usitume nauri kwa manzi aliyembali kama hujawahi kumkata hata mara moja".

Ni hayo tu.
Ni kweli, kuna kadada kanajiita Liz de Cute kalishanifanyia huo ujinga
 
Back
Top Bottom