Niliwahi kuangalia documentary moja inaitwa body modification mdada mmoja akawa anatoa ushuhuda kuwa ametumia Zaidi ya dola za kimarekani 250,000 kununu artificial organs ili apendeze na achumbiwe na mwanaume wa Maisha yake… akawa hata kutongozwa tu na wahuni barabarani hatongozwi. Wakawa wanamuuliza kwa nini hukuamua tu kufanya surgery moja kwa moja akawa anajibu nilihofia sana operation. Mpaka kuna siku ameenda holiday Australia wakati amevua artificial zote na amevaa bikini kwa ajili ya kuongelea, ndipo kwa mara ya kwanza akaja kutongozwa na mkaka mmoja ambae alitoka katika familia ya wakina Liberman, moja kati ya familia Tajiri kabisa Australia mpaka kuja kuolewa akawa anasafiri na ma private jet.
Zero IQ uzi huu ulikuwa uwaalike Zaidi wakina dada wa hapa JF kuliko sisi wanaume. Wao wengetoa jibu muafaka la kwanini wanaelekea huko.