Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,130
Mwenyekiti huyu mjumbe anaharibu kikao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kicheko chake , kinapunguza consantereshen , tunaomba akapumzike nje kidg
[emoji19][emoji28]
Mwenyekiti huyu mjumbe anaharibu kikao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa niaba ya Me wezangu naomba ufafanuzi wa kina hasa kuhusu hili Chifu[emoji41]Tuwe nao makini...kuna mbinu mpya wamekuja nayo...anachukua pregnancy test device anaiweka sijui kwenye juice ya Apple vike....ngoma inasoma positive...dadadeki...
Hapo basi mwanamume unalea mimba hewa na vike ikute mkeo hajakuzalia?
Mwenyekiti huyu mjumbe anaharibu kikao
Kicheko chake , kinapunguza consantereshen , tunaomba akapumzike nje kidg
[emoji19][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ngoja tupate mawazo kutoka kwa wajumbe mkuu kama atafaa kuendelea na kikao au tumpige chiniMwenyekiti huyu mjumbe anaharibu kikao
Kicheko chake , kinapunguza consantereshen , tunaomba akapumzike nje kidg
[emoji19][emoji28]
Siwezi kuwaita wala kuwasemea, mimi wanangu watalelewa na mimi, Sakayo!Waite wenzio mtueleze mnataka watoto wetu walelewe na midoli au viumbe halisi viliyoumbwa kwa utukufu wa Mungu..[emoji57][emoji848]
Hata kuwashauri pia ni dhambi Mama la Mama...[emoji848][emoji87]Siwezi kuwaita wala kuwasemea, mimi wanangu watalelewa na mimi, Sakayo!
muacheni kwa sasa ila apewe onyo kali zaidi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ngoja tupate mawazo kutoka kwa wajumbe mkuu kama atafaa kuendelea na kikao au tumpige chini
Utandawazi unatubadilisha sana jamanii!Hata kuwashauri pia ni dhambi Mama la Mama...[emoji848][emoji87]
Ilimradi usisafiri kabisa kwenda Ulaya/western countries maana ndiko penye chimbuko la hizi biashara za Watu...[emoji16]Dah
Hii ni zaid ya hujuma kwa kweli kuna haja ya kupaza sauti dunia nzima..
Utandawazi unatubadilisha sana jamanii!
mwalimu wangu mmoja aliwahi kuniambia,duniani kote dume ndio kiumbe mzuri kuliko jike,jike ni bandia,artificial yaani hana uhalisia,akanipa mfano wa jogoo na mtetea,jogoo ni mzuri zaidi,simba ,dume ni mzuri kuliko jike.....mwanamke haridhiki na alivyonavyoKama wewe ni mwanaume tafadhari sana acha kazi zote kwa sasa uje kwenye hichi kikao cha dharura,
Sio fea kwa kweli tunakoelekea kwa sasa hawa viumbe wanazidi kutuchezea Rafu tusipoangalia na kutatua hili tatizo watazidi kutupiga kwa KO
Karibuni kwenye kikao cha dharura.
View attachment 1104667
Cc Zero IQ
muacheni kwa sasa ila apewe onyo kali zaidi.
Kwa kweli mambo yamekuwa mengi sana! Kuna wakati nawaza watoto wetu watajifunza kipi kutoka kwetu!Mungu akabaki kuwa Mungu tu, alimaanisha sana aliposema "msiupende zaidi ulimwengu/mambo ya kidunia maana mengi yao ni machukizo kwa Mungu, ndiyo haya tunayoyaona ss hv...@ cc Sakayo... [emoji87]
Kwa kweli mambo yamekuwa mengi sana! Kuna wakati nawaza watoto wetu watajifunza kipi kutoka kwetu!
Mama ako na kucha bandia, kope, akiangalia nje mama kaanika kigodoro, saivi tena maziwa!
Tunatakiwa tusali sana, sio kwa ajili yetu ni kwa ajili ya watoto wetu jamani!