Wanaume wenzangu! Hivi hii ni kawaida?

Wanaume wenzangu! Hivi hii ni kawaida?

Habari!

Poleni na mihangaiko na shughuli za kusaka riziki.

Leo nna kitu kimenishtusha sana. Hii imenitokea leo katikati ya tendo na girlfriend wangu. Na imenishtusha sana.

Katikati ya tendo askari kagoma kusimama ghafla. Achana na ile ambayo inapungua gradually labda baada ya ejaculation, sasa mimi ilikuwa katikati ya zile back & forth movement (wakati wa penetration) yenyewe imedondoka mazima. Kikawaida huenda round hadi nne ila leo ya kwenye purukushani ya kuitafuta ya pili mambo yakawa si mambo.

Nimejaribu kupitia mitandaoni na kusoma forums na mambo kem kem kuhusiana na penile tunescence nikakutana na term wameiita erection dsyfunction/ impotence. Wameeleza mengi wakasema kwamba erection huwa triggered na mengi ikiwamo psychological, neural, vascular na physiological factors.

Wakasema kwamba magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, madawa kama madawa ya bp... Ila vyote hivi mimi sina. Wakagusa sector nyeti ya pombe na sigara. Nimekuwa mvutaji for almost 4 years, nimequit 19th of may mwaka huu na siku zote sijawahi kukumbwa na shida hii. Kuhusu pombe ni mtumiaji mzuri ila nina wiki sijakusa kilevi cha aina yoyote. Shida ni nini?

Nikaanza kuspeculate labda ni maji nnayokunywa juzi nilianza kama cleansing therapy flani hivi ya kunywa a glass of water kila baada ya 45min to an hour. Ili kutima 12 to 18 glasses of water a day. Wanasema inasaidia weight loss. Nikahisi labda inapooza temperature ya mwili labda ina uhusiano na erection.

Psychologically naona i was prepared to have sex afterall shes my girlfriend i am always aroused nikiwa nae plus nilikuwa na sex drive nzuri tu.

Mpaka sasa sijapata jibu kamili. Je ni kawaida hii kutokea kwa wanaume? Na kama umewahi kumbwa na hii situation naomba ufafanuzi.

Shukran.


Ningesema pole, ila i don't think ni kitu chakusema pole ( i don't mean to be rude).

What i can say is i sympathize with your situation. I've been there a few times. NO I DO NOT HAVE ED (Erectile Dysfunction) but what you describes happens from time to time.

A lot of things go through your mind upon any given time. Sex is a psychological thing as it is biological. I'm not a biology expert, but i do understand my own body. Calm down, don't worry about it. Chances are it won't happen again. Now if it's an ongoing problem, then i'd say you might want to visit your dr.

Here are few tips. Bash that bishop every now and then. "YES" MASTURBATE, every now and then. It's good for you, IT'S HEALTHY! Now don't over do it, because it's also unhealthy, just like any thing you over do.

Before having sex, don't think much about it. I know easier said than done, but simply focus on ur woman. Pleasure her with more than just penetration. Foreplay, cunnilingus, annilingus etc... You'll find out that your more aroused when you see how much she's enjoying herself.

Cut down your alcohol consumption. If you drink frequently start slowing down. I'm sure you can google lots of studies that link alcohol and lower sex drives.

Start exercising if your not. Mostly cardio. So swim, ran, play a sport. Weight lifting won't hurt you either (and more pros than cons on this one). There's a psychology link between people who work out vs the ones who don't during sex. Apparently people who work out often, feel more confident and good about their bodies and that increases their libidos. How true? Go ask Harvard school of medicine.

Last, check the one eyed guy in the morning. Do you still wake up with morning boners? If so that means everything is fine and even better you can ask ur partner for morning sex. IT'S THE BEST!

Like i said, i'm no biology expert. But I've dealt with this situation couple times and i'm just fine.
 
Relax its a normal thing unless imetokea mara nyingi lakin iyo ya once waalaa isikupe mawazo
 
nimekuuliza hivyo sababu hiyo ndio sababu iliyokufanya mzigo ukazima katikati, anyway kama umeacha sigara fanya hii kitu nenda gym, au nunua baskeli
 
1472643639835.jpg
 
Mungu akutokee uaache uzinzi ni dhambi kumbuka kuwa mshahara wa dhambi ni mauti hivyo geuka na utubu sasa kabla ya anguko Zima kukujia
 
Si unajua kuna zile time mr. right anakuwa mbali?...yeah hapo hapo.

Aaaaah Jamani akiwa mbali si mimi nipo karibu tu tena available kabisa, usijiumize tena na hizo... pataota sugu ujue afu utakua husikii u..m. vizuri kwa real thing zetu
 
Aaaaah Jamani akiwa mbali si mimi nipo karibu tu tena available kabisa, usijiumize tena na hizo... pataota sugu ujue afu utakua husikii u..m. vizuri kwa real thing zetu
Ha ha ha usijali mkuu kibaru kikipatikana nitakuita.
 
Back
Top Bottom