Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,376
- 11,520
- Thread starter
- #41
Sio solution but nimekubali kuwa dhahiri.. nimedharaulika enough.Tafuta mnyonge wako.
Wanawake wanaua sana mkuu

Hamna demu kama huyo as long analeta mbususu kula maana kwa alichokifanya anaelewa fika unajua ila bado anakaza kichwa kuja kwako, jilie ila kuwa makini na magonjwaBro bado sijapoa , pia means kwamba mwamba aliyenitombea ndo yuko appreciated sana kwa bibie sio?
Tena ukienda kwa wa iraq aka wambulu utagonga familia nzima na chenji ya 100k inabaki 😁😁😁😁😁 na wanakupikia kabisa150K si unapata 2nd class b*tch kabisa
Nitajitahidi bro, dah.Achana naye endelea na maisha yako.
Kuna watu hawapendi rafiki zao wawafahamu wapenzi wao.Bro ku think positive naweza je , bibie imekaaje asafiri na mwanamke mwenzake.. wafike niliko na ashindwe kuja kuniona ? Wakati ni watu wapenzi Tena mawasiliano ni ya muda wote? Kuthink kwamba alichoka na mwendo , kwamba anlshindwe kukodi boda nije nilipie nimle ndo akalale huko ni kujiandanganya binafsi
Utakuja msibani?Nisikilize kijana.
Mtumie txt kuwa unamsubiri.
Akija muulize kwanini alifanya vile?
Mtengeneze mkeo mtarajiwa
Acha utoto mkuu jikaze kiumeUtakuja msibani?
😂Tena ukienda kwa wa iraq aka wambulu utagonga familia nzima na chenji ya 100k inabaki 😁😁😁😁😁 na wanakupikia kabisa
Imani yangu ni kuwa humu Kuna wabobezi wa maswala ya mahusiano na pia Kuna wanawake wenyewe.And people meet in a very mysterious way, unquestionably it doesn't matter where you met her,
Don't listen to everything here,some people in this platform are insane
At the end it's you and your life, question first and according to the way you wrote your story I've realised that you are so jealous of your girl
Talk to her that you disliked what she did, if she do it again only then you can undoubtedly question
Ile naul 150k ultoa au hukutoa?Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.
Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"
Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"
Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"
Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"
But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12
Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"
Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..
Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani
Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .
Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .
Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Kha!!Tena ukienda kwa wa iraq aka wambulu utagonga familia nzima na chenji ya 100k inabaki 😁😁😁😁😁 na wanakupikia kabisa
👀👀👀👀👀👀Habarini!

Kwani uwongo...nyie wanawake mnakuwaga na wanaume wanne.Si huwa mnasema hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja sasa mnaulizana nini (natania) Kama imani nae huna tena bora umuache mapema tu.
Sent using Jamii Forums mobile app