Wanaume wenzangu hii ikoje

Wanaume wenzangu hii ikoje

Uyo amekuona huna kitu coz kaomba 150K umempiga kalenda akaona daah asije akaning'inizwa bure
Sio hivyo bibie, nilimuahudi tarehe 30, maajabu yeye kafanya Safari tarehe 29 bila maelezo hela kapata wapi
 
daah demu kanjunjwa huyo.

mkuu mwamba katoka wilaya ingine kaja kmgonga demu wako wilayani kwako.

ZARAU HIZO UJUE

KATAAA NDOAA
Bro dharau zimevuka mipaka.. sana☹️ lakini fresh ndo maisha.
 
Bro umenielewa vibaya huyo bibie.. nilitana nae safarini December lakini nilimla mara moja.

Once that mahusiano ya mara kwa mara yalianza mbaka hapa Mambo yalipofikia

We ndo fala kabisa, umekutana naye December ukamla mara moja, anakuwa wako?

Hivi vijana wa siku hizi mbona wa hovyo sana, ndo maana matukio hayaishi...
 
Hapana mtumishi, anataka kumlaumu dada wa watu na kumfanya aonekane sio muungwana.

Umeona anavyotaka kuleta visingizio sijui simu haipokelewi Mara dada sio mwaminifu. Kama wangekua vizuri bila shaka wangeshawekana wazi Hali ilivyo na Kuna vitu sio rahisi kama watu wanavyofikiri.

Mabinti wanakua kwenye wakati mgumu anapokya na mtu AmBAR haeleweki ila wako nae na anatokea mtu mpya anataka ampe nafasi amfaham vizuri ili ikiwezekana afanye maamuzi. Unafikiri Binti atakurupuka tu kukwambia status yake kabla hajawa na uhakika na wewe ajue malengo Yako ni yapi?

Alitakiwa awe mpole na avute subira. Angeujua tu ukweli mbele ya safari.

Kama nimevuka mipaka nisamehe tu mtumishi ila kijana anatakiwa aanze kujua stress halisi na za kujitakia Kisha azitofautishe na kushughulika na mambo ya msingi.
dah! Boss siunajua mapenzi sio ajira. Huwezi kusema huwezi kuvunja mapenzi na fulani kabla ya kupata mpenzi mpya. Hii hufanya mzunguko au vicious cycle ya mavunjiko ya mahusiano kwakijana husika kwakila atayoyaanzisha. Mapenzi sio interview na sio mambo ya legal documents. Unapoanzisha mahusiano, huwezi kusema ngoja nikabomoe huku ili niweze kujenga na wewe, hata huyo atakayekubali kufanywa mpenzi mpya naajitafakari sana. Ukishavunja mahusiano, unatakiwa kutulia na kushusha uchungu na mizigo yote uliyotokanayo huko ili usije ukamletea mwenzako machungu na mizigo yatokanayo na mahusiano uliyoyavunja. Laasivyo, huyo mpenzi mpya atakuwa wakumpa lawama kila siku na kumhukumu kwa mahusiano yako uliyoyatoka kuyavunja ghafla tu bila kujitafakari ulipoteleza. Huwezi kutengeneza mahusiano na mtu huku mahusiano ya zamani yakiwa hayajaisha, laasivyo utakuwa unatest tu sawa na malaya, pakiharibika basi ndio imeisha hiyo. Ndio maana ndoa huvunjika mapema sana na familia kuvurugika sana kipindi hiki. Mahusiano sio ajira na wala sio biashara. Hujamaliza machungu au mahusiano yako, usitengeneze mapya maana hayatakusaidia kitu badala yake utakuwa umemtengeneza mtu mpya mwenye tabia ya kufanya kama hayo. Mwishowe, jamii na kizazi huvurugika. A relationship is neither a job nor a transaction.
 
Wewe hiyo 150k ndo inayokuuma

Sasa ungetaka hilo gubu likuishe suluhisho ilikuwa ni kupokea simu yake uumkaribishe magetoni unakuwa mnafiki unajifanya kama unamkubali hivi then unamtomba kisawasawa halafu unapiga chini

Hawa wanaojifanya wajanja siku hizi tunawafanyia psychological torture tu
Sijaona mahala kasema alitoa hyo pesa. Kinachomuuma anahis kagongewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.

Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"

Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"

Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"

Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"

But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12

Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"

Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..

Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani

Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .

Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .

Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Kama ulishamla na kumwagia tule tumaji twa kibaiolojia wa nini tena au unataka kuoa hicho kicheche?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe yan maelezo yote hayo huoni kama uyo bitch ana tatizo? Anapigiwa simu usiku hapokei, ameambiwa aende na rafiki yake hajibu msg hapo huoni kuna namna haiko sawa? Au ndio uzungu mwingi ukidhani kila mtu yuko ivyoo

Yan hata mwanamke mwenyewe atakuona hamnazo. Na anamtafuta ivyo kwa vi msg kama nimekuMiss sijui na upuuzi mwingine kama huo ili apate ile 150k aliyoahidiwa.
I find no wisdom in your writing, calling someone b**ch that tells a lot about you

Anyway it was my proposition it can be taken or discarded.
There is something more far dark in our brother story
Only extraordinary mind can question
Kisa ni binti kushindwa kwenda kufanya uzinzi nae ndo kosa kubwa right?? That's what the story is all about sasa sijui kama wewe ujaliona hilo
If it's right now tell me if you don't doubt it?
 
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.

Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"

Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"

Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"

Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"

But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12

Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"

Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..

Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani

Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .

Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .

Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Ameuchuna sababu amejua lengo lako ulitaka mpige threesome
 
Back
Top Bottom