Wanaume wenzangu hii ikoje

Wanaume wenzangu hii ikoje

Nenda kwenye post zangu utaona.. usiombe yakukute
Ukahaki ni yeye Uzi nimeuona! Sometimes watu wanatumia picha za watu. Kwanza mlikutania mazingira ya kuuziana huduma?

Mi dogo tulikutana safarini mbaka tunaacha yuko safarini kurudi wilayani kwake.
 
Ukahaki ni yeye Uzi nimeuona! Sometimes watu wanatumia picha za watu. Kwanza mlikutania mazingira ya kuuziana huduma?

Mi dogo tulikutana safarini mbaka tunaacha yuko safarini kurudi wilayani kwake.
Mkuu nlitoa hadi tamati, ni yeye
 
Mkuu suala la kumpenda mtu nilikuwa sijivungi, huwa naingia mazima ila baada ya hili tukio ndio nimejua Nazi haivunjwi kwa ugoko, utaumia tu
...Noma sana sema sometimes unaweza weka Uzi seriously na wanazengo wakaona Kama Hadith tu
 
Kwa wengine sijui ila kwangu navyoelewa mapenzi yanakua yameisha. Wanawake sio wepesi kucheat kama tulipenda kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sista kama ukija kuzaa mtoto wakiume, hata siku moja usijemwambia hivi, hasa kwanyakati za sasa😂😂😂. Nani anayemjua anayempenda kweli, naasimame juu na anyooshe kidole😂😂😂, basi kwakuwa hakuna vivyohivyo na mtoto wa kiume aishi akijua muda wowote anaweza kugeukwa au kucheatiwa. Awezaye kumtofautisha mdangaji na mke mwema kwakipindi hiki hakuna basi kila mmoja na aishi kwa tahadhari.
 
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.

Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"

Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"

Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"

Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"

But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12

Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"

Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..

Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani

Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .

Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .

Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Kula mzigo temana naye, huyo mtu aliyekuwa naye ni mwanaume
Na ndio kampa hio 150k sasa
 
Back
Top Bottom