Wanaume wenzangu hii ikoje

Unataka ukweli..??
Ukweli ni kuwa tukimpenda mwana ile kiukweli, huwa hatuthubutu kucheat hata iweje..!!
Huu ndio ukweli,wanaume eleweni hapa,ukiona mwanamke ame ku cheat hakupendi na Wala Hana hisia na wewe,na once akidhaku cheat hawezi kukupenda tena kama mwanzo Hilo sahau,ndio maana mnaambiwa mwanamke akikucheat kwa sababu yoyote Ile basi usiendelee kuishi naye hata kama kaomba msamaha maana hisia na moyo wake vipo kwa huyo jamaa anae cheat naye,na wanaume kumbukeni hili mwanamke anapenda kwa kitumia moyo/hisia so mpaka awe na hisia na mtu, except tu wale Malaya ambao wapo kazini akija mtu na dau lake anajipigia anasepa Hawa hawajali hisia coz wapo kazini wanachokiangalia zaidi ni pesa .
Lkn wanaume hupenda kwa kitumia AKILI zaidi kuliko hisia,thus why anaweza akacheat na kwenye familia yake akawa stable,yeye anaendeshwa na mihemko na tamaa,so once Ile tamaa ikiisha basi anamtema mtu anasepa kwa mkewe,hivi ndivyo ilivyo.
I'm speaking from experience.
I'm speaking from experience nn
 

Zingatia niliulizwa nini na nimejibu nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 Hii scenerio hivi kama ilivyo ilinikuta sema yeye alikuwa anatoka Moshi to morogoro then Dar to Moshi sikuambie mtu ndugu.... Bia tamu

Huyu manzi baada ya kufika mkoani nilipo zilipita siku 5 Tu baada ya hiyo safari yake akasema ni mjamzito baada Tu ya kurudi... Mimi nilimnyamazia kimya akanitumia picha ya kipimo WhatsApp, nikampigia akasema mzigo ndio huo...

Nikamwambia njoo ofisini nikupime mwenyewe akasema sawa... Alipitiliza hakuja ofisini kama siku 3 baadae akapiga simu eti kaziona siku zake....

Nikamwambia laana ya mimba aliyoitoa itammaliza... Ghafla akahama mkoa ... Mpaka sasa yuko huko makao makuu ya nchi

Wewe mdada ni mshenzi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu
 
Kumbe uliwahi kucheat wewe. Ebu tupe sababu ya kucheat. Na kwa nini uliruhisu kugegedwa na mtu usie mpenda?
 
Nabisha kuwa kukaa muda mrefu bila sex hakuna madhara, inawezekana miezi miwili ni michache sana watu wanaokaa hata miaka without doing it ila hii ni kwa wanawake tu,lkn wanaume hawezi,it's a nature.
Sasa kama mwanaume hawezi kaa mwezi, na huyo mwanaume anatomber mwanamke huoni kuwa kuna contradiction hapo?

Alafu mwaka mzima bila kugegedwa itakuwa anatumia tango so that dnt count as mwaka bila kugegedwa maana anakuwa amejihegeda mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣

Na kwa nini ukae mwaka bila kugegedwa? Una matatizo gani kama mwanamke?
 
Mbususu haisusagwi, Wala haichachi
 
Mbususu haisusagwi, Wala haichachi
Dah huu mseo unanikumbusha mrembo wangu aliniambia hivyo siku najidai kuvunga kula mbususu yake eti kisa ametombwer na mwanaume mwengine 🤣🤣🤣🤣🤣

Ila tukiwa vijana tunakuwa na ufala mwingi sana. Yaani ukatae mbususu kisa njemba mwengine ameikula🤣🤣🤣 stupid kabisa!
 
Kijana, ukweli wote unaujua, na anachokifanya unakijua, unatambua hakupendi, na kwamba anakuchuna pochi. Hana mpango na wewe yote haya unajua.

Shida ya yako umejitia ujinga na upofu wa mapenzi moyoni kiasi kwamba hayo unayoyajua unadhani na kutamani yawe ni uongo wakati ndio ukweli wenyewe.

Siku zote jiamini na simamia ukweli, utafurahia maisha na hutojuta. Piga chini fasta, futa kichwani kwako, na kama hauwezi kumchana live kuwa atembee akafie mbele, fanya diplomasia ya kuacha na kuua mawasiliano nae taratibu. Akitext usijibu au unajibu mara 1 kwa siku. Akitaka kuja geto mwambie umesafiri.

Shida kubwa naiona kwako, kufuta huo ujinga wa mapenzi moyoni mwako ndio mtihani. Ila majibu yote unayo. Kazi ni kwako, POWER TO YOU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…