Chouder
JF-Expert Member
- Mar 29, 2023
- 558
- 876
Uyo amekuona huna kitu coz kaomba 150K umempiga kalenda akaona daah asije akaning'inizwa bure [emoji1787][emoji1787]Uyo amekuona huna kitu ameomba 150
Uyo amekuona huna kitu coz kaomba 150K umempiga kalenda akaona daah asije akaning'inizwa bure [emoji1787][emoji1787]Uyo amekuona huna kitu ameomba 150
[emoji1787][emoji1787]Nikupe ua 4.
Atachelewa kuloa mkiwa faragha[emoji1787]
Nyuma nyuma huko kuna kipindi nilikua single mwaka mzima ulikatika bila bila. Ni maamuzi tu.Mwaka hujatombwa[emoji44][emoji44][emoji44] aise besty wee sio mzima bwana. Andunje anafeli pakubwa
Kwa hiyo ni ujinga kukaa muda bila kuliwa?? Aiseetatizo lipo, Ukiwa na afya nzuri huwezi kujisifia ujinga eti unakaa mda mrefu bila kutafunwa.
Dah kwa hiyo ukawa umejiunga chaputa🤣🤣🤣🤣🤣Nyuma nyuma huko kuna kipindi nilikua single mwaka mzima ulikatika bila bila. Ni maamuzi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Nakutania bwana besty...mie najua andunje atakuwowa tuu....mie akuja kuvizia bridesmaid niserebuke nae
Chaputa sio mwanachama. Yaan huamini kabisa [emoji23][emoji23] labda inawezekana nina matatizo kweli.Dah kwa hiyo ukawa umejiunga chaputa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Urudishe basi kadi ya uwanachama
Mtu Ndoa huna, unataka ujisifie kufanya uzinzi..???tatizo lipo, Ukiwa na afya nzuri huwezi kujisifia ujinga eti unakaa mda mrefu bila kutafunwa.
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.
Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"
Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"
Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"
Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"
But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12
Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"
Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..
Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani
Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .
Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .
Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Ujinga ni kujisifia kukaa muda mrefu, hapo ndo Kuna tatizo .
Sana bro , unaweza weka nae mipango kumbe wewe ndo , mpango.Mademu wanazingua sana
We nae kigeu geu🤔Ila wewe umewaza nje ya box, sema alichokosea ni kutojibu sms kwa wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝Wewe hiyo 150k ndo inayokuuma
Sasa ungetaka hilo gubu likuishe suluhisho ilikuwa ni kupokea simu yake uumkaribishe magetoni unakuwa mnafiki unajifanya kama unamkubali hivi then unamtomba kisawasawa halafu unapiga chini
Hawa wanaojifanya wajanja siku hizi tunawafanyia psychological torture tu
Bro umenielewa vibaya huyo bibie.. nilitana nae safarini December lakini nilimla mara moja.Kwa hiyo unamuonea wivu mwanamke kwa mahusiano ya masaa 48 na chat za simu?
Hawa ndo wanaume, kwamba ulifikiri wewe ndo upo mwenyewe? Pumbavu kabisa..
Hemu ngoja wahuni wenzako wanakuja wakupe mwongozo marizawa.
Oyaa shemu ameshafika?Bro since nimemla December, Leo hii kaja afu kalala mtaani kwangu mi nimelala apeche..🤔 naona misingi imegeukwa.
Kaka seriously unataka aje? Mbona tumekubaliana tupige chini mazima😥Oyaa shemu ameshafika?