Wanaume wenzangu hii ikoje

Wanaume wenzangu hii ikoje

Alafu hiyo comment niliandika kawaida tu ila kuna watu sijui mmechukuliaje. Hivi kukaa bila sex kwa kipindi fulani ni issue sana kwamba mtu utakufa? Mbona ni jambo la kawaida sana. Naona tunaanza kujadili mengine we pambana na mabalaa yako huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli... Ila mi nataka nijue! Hivi mwanamke unaweza kucheat na bado ukawa unampenda mtu wako? Tofauti na huyo ulocheat nae!! Au nyie cheating ikoje kwakina dada?
 
Sio
I find no wisdom in your writing, calling someone b**ch that tells a lot about you

Anyway it was my proposition it can be taken or discarded.
There is something more far dark in our brother story
Only extraordinary mind can question
Kisa ni binti kushindwa kwenda kufanya uzinzi nae ndo kosa kubwa right?? That's what the story is all about sasa sijui kama wewe ujaliona hilo
If it's right now tell me if you don't doubt it?
Shida sio kashindwa kuja nifanye nae uzinzi no. Shida kaja nilipo afu kashindwa kuja kwangu japo kuniona!! Na last seen December
 
Hii wala hukuhitaji kuuliza. Wachana nae alikuweka wa akiba. You deserve better..
 
Insecurities hazijawahi kumwacha mtu salama,wewe acha kuwa na was wasi juu Yake,mwambie atimbe ghetto ule mzigo Kisha asepe kwao.

Mtu hata hujaoana naye na tayari ushaanza kufeel insecure eti ooh Ana mwanaume mwingine, na itakuwaje Sasa Kama ukioa?

Man up!
Tatizo la wanaume wengi wa kileo ni waoga wa maisha na wanataka kujifananisha na wanawake
Lile neno tuishi nao kwa akili linamaana kubwa sana ila wengi wa wanaume hawajui jinsi ya kuishi nao kwa akili
 
Tatizo la wanaume wengi wa kileo ni waoga wa maisha na wanataka kujifananisha na wanawake
Lile neno tuishi nao kwa akili linamaana kubwa sana ila wengi wa wanaume hawajui jinsi ya kuishi nao kwa akili
Fafanua kidogo hoja yako Kama Ina mashiko.
 
Kwa kweli... Ila mi nataka nijue! Hivi mwanamke unaweza kucheat na bado ukawa unampenda mtu wako? Tofauti na huyo ulocheat nae!! Au nyie cheating ikoje kwakina dada?
Kwa wengine sijui ila kwangu navyoelewa mapenzi yanakua yameisha. Wanawake sio wepesi kucheat kama tulipenda kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauhakika au ni hisia mkuu hivi unajua akili za wanawake
Kwa 90% ni Tru. Maana alisema yuko na mwenzake wanafanya kazi ofisi moja .
Nikawaambia waje walale home asubui ndo waende. . Kwangu mbaka stand ni dkika 10 tu hakuna umbali wa kutosha kumfanya ashidwe kuja hata basi kuniona tu afu andoke.
 
Sasa case yako mbona ndogo mkuu.. Mimi juzi tu nimewapa mkasa wa mwanamke niliepanga kumuoa nimekuta picha zake za uchi group la Telegram akinadi kujiuza
😲😲😲😲😲Mtume.....!!!
 
Back
Top Bottom