Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

Ahaaaaa haaaaaa sasa inabidi tuwaogope watu wenye vipara
 
Mimi naitwa mzee Kipara.
Nilikuwa nalichukia hilo jina ila kuanzia leo mhhhhh!!!!

Ni mwendo wa vipara kama platnumzzz
 
This might be true... kwa experience yangu kidogooo kuna ka ukweli hapa
 

Mhuuuu! ni shiiiiiiiiiiiida.

Bonge la promo.
 
Ni kile kipara cha kutoa govinda jamani sio cha nywele za kichwani
 
Ha ha haaaa!!! Maelezo yako hayana ukweli wowote ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…