Wanaume wenye hii tabia Muiache, inaboa sana..!!

Hellow guys,
Khabari ya weekend, natumaini mnalisukuma vyema gurudumu la maisha, wale wenye wako na matatizo mbalimbali M/MUNGU akawafanyie wepesi.!!

Leo naomba nizungumze na ile aina ya wanaume ambao wana tabia ya kuwa 'available for every chick', yaani unakuta mwanaume mzima na ana familia yake lakini ndo bingwa wa ku flirt, yaani yeye mfanyakazi mwenzie twende, muhudumu twende, wateja wake twende, jirani twende, muuza duka ama genge twende, unakuta mwanaume mtu mzima lakini ana mazoea ya kiajabu na kila rika ilimradi tu iwe jinsia Ke,

Imagine ndo mumeo, baba watoto ama mpenzi wako mmeenda naye pahala labda sehemu ya kula unakuta ana mazoea na utani uliopitiliza na kila mdada wa humo ndani, hivi unajiskiaje.??

Inafikia pahala unaogopa hata kumtambulisha mwanaume wa aina hii kwa familia yako wale wenye jinsia ya kike sababu unajua dakika mbili nyingi atakuwa ashamzoea, 'Sweet meji, darling shem na mke wangu' zishakuwa kibao muuuda,

Ndo umtambulishe kwa rafikiyo wa kike ambaye naye zake hazimtoshi ndo utakuta they're babing each other kitaambo..!!

Sasa unashindwa elewa hapa nina mwanaume ama mali ya umma?? Hapa naomba nieleweke simaanishi 'kutembea' nao HAPANA.!! Naongelea yale mazoea ya kijinga jinga anayokuwa nayo mwenzi wako kwa jinsia ya kike.!!

Ongea na jinsia tofauti ni sawa, taniana nao hakuna mtu anakuzuia ila kwanini muwe na mazoea ya kipuuzi yaliyopitiliza?? Na mtu wa aina hii ukimuuliza atajifanya kuwaka 'oooh' tunataniana tu'..!! Hakuna mwanamke atamfanyia mwanaume utani wa kupitiliza bila mwanaume kuliruhusu hilo.!

Wakati mwingine mnakuja omba ushauri hapa unataka mtokea mdada ambaye ni mfanyakazi mwenzio, ila utaanzaje while ashakuona uko very cheap, you're just there for everyone.? Aina hii ya wanaume ukigusa simu yake utahisi kuzima, kila contact yenye jina la mdada ina 'babe' ama 'makopa-kopa' na hana mahusiano nao hapo imagine..!!

Huwa mnatusema siye tupo cheap ila I swear baadhi ya wanaume wako cheap zaidi ya neno lenyewe!! Hata siye tunapenda date wanaume wako na 'attitude' guys.!!

'Pals, learn to raise your standards'..!! ifikie mahala mtu akitaka kukuletea ujinga ajiulize kwanza mara mbilimbili anaanzaje.!!

btw, wenye wako na povu walipeleke kwa tangazo la omo, mie nguo zangu nishafua..!!
aisee vice versa is true mm nna mwanamke wa aina hiyo kila mwanaume kitaani ana namba yake inakera ******* ukimuuliza ni rafiki
 
Kuna siku nililopoka mbele ya wife eti lazima niende bar mpya hapo mbele kuna watoto wakaliiii wameletwa yaani chuchu konzi

Wife alininunia mda wote kavuta domo na msonyo kwi kwi kwi kwi
mwanaume una wifi?
 
aisee vice versa is true mm nna mwanamke wa aina hiyo kila mwanaume kitaani ana namba yake inakera ******* ukimuuliza ni rafiki
Ni lazima upige marufuku hiyo tabia kiukweli, kwani ni lazima uwe na urafiki na kila mtu?? Wengine waishie kwenye salamu tu.!!
 
Hellow guys,
Khabari ya weekend, natumaini mnalisukuma vyema gurudumu la maisha, wale wenye wako na matatizo mbalimbali M/MUNGU akawafanyie wepesi.!!

Leo naomba nizungumze na ile aina ya wanaume ambao wana tabia ya kuwa 'available for every chick', yaani unakuta mwanaume mzima na ana familia yake lakini ndo bingwa wa ku flirt, yaani yeye mfanyakazi mwenzie twende, muhudumu twende, wateja wake twende, jirani twende, muuza duka ama genge twende, unakuta mwanaume mtu mzima lakini ana mazoea ya kiajabu na kila rika ilimradi tu iwe jinsia Ke.

Imagine ndo mumeo, baba watoto ama mpenzi wako mmeenda naye pahala labda sehemu ya kula unakuta ana mazoea na utani uliopitiliza na kila mdada wa humo ndani, hivi unajiskiaje.?

Inafikia pahala unaogopa hata kumtambulisha mwanaume wa aina hii kwa familia yako wale wenye jinsia ya kike sababu unajua dakika mbili nyingi atakuwa ashamzoea, 'Sweet meji, darling shem na mke wangu' zishakuwa kibao muuuda,

Ndo umtambulishe kwa rafikiyo wa kike ambaye naye zake hazimtoshi ndo utakuta they're babing each other kitaambo..!!

Sasa unashindwa elewa hapa nina mwanaume ama mali ya umma?? Hapa naomba nieleweke simaanishi 'kutembea' nao HAPANA.!! Naongelea yale mazoea ya kijinga jinga anayokuwa nayo mwenzi wako kwa jinsia ya kike.!

Ongea na jinsia tofauti ni sawa, taniana nao hakuna mtu anakuzuia ila kwanini muwe na mazoea ya kipuuzi yaliyopitiliza?? Na mtu wa aina hii ukimuuliza atajifanya kuwaka 'oooh' tunataniana tu'..!! Hakuna mwanamke atamfanyia mwanaume utani wa kupitiliza bila mwanaume kuliruhusu hilo.!

Wakati mwingine mnakuja omba ushauri hapa unataka mtokea mdada ambaye ni mfanyakazi mwenzio, ila utaanzaje while ashakuona uko very cheap, you're just there for everyone.? Aina hii ya wanaume ukigusa simu yake utahisi kuzima, kila contact yenye jina la mdada ina 'babe' ama 'makopa-kopa' na hana mahusiano nao hapo imagine..!!

Huwa mnatusema siye tupo cheap ila I swear baadhi ya wanaume wako cheap zaidi ya neno lenyewe!! Hata siye tunapenda date wanaume wako na 'attitude' guys.!

'Pals, learn to raise your standards'..!! ifikie mahala mtu akitaka kukuletea ujinga ajiulize kwanza mara mbilimbili anaanzaje.!

btw, wenye wako na povu walipeleke kwa tangazo la omo, mie nguo zangu nishafua..!
Hiyo ndiyo tabia yangu kabisaaaa
 
hahahahah. ..sure.
hata mimi huwa namwambia Smart911 love fulani na fulani hayo mazoea jamani jamani. .. utaniua kwa presha mwenzio ananiambia eti wasiwasi wako tu love naishia kusema wee haya tu
Hahaa'
Honestly nimependa huo umaliziaji wako eti 'wee haya tu'..!!
Unaonekana mpole mwenyewe!! Mimi hizi bangi sijui niache tu kuvuta ili namie niwe kapole.!!
 
kweli kabisa mimi ni mpole sana. ..hata Smart911 akiniudhi huwa namute tu. .hata jf nakua muda mwingi siingii nikiingia naangalia notifications dakika chache natoka kimya kimya simjibu wala kukoment chochote mpaka mwenyewe ananotice something is wrong ananiuliza.

akiona nimekua mgumu ndo anazidisha mazoea nao sasa si anajijua moyo wangu hapo ndo nahisi kufakufa kabisa nasusa mazimaaa jf siingii hata home kwake siendi najikazaa nakua namkumbuka mwenyewe ila najitia mgomo baridi huku naangalia yupo nanani tehteh badae anakuja kwangu hayo madolido sasa! ! mwisho tunaingia mahakamani. ..ivoivo
 
Hahahah... kaone kwanza kalivyo kazuri...
 
Back
Top Bottom