Wanaume wenye hii tabia Muiache, inaboa sana..!!

#kiukweli Muda mwingine wanawake ndo chanzo ,
Mwanmke akiwa serious hakuna mwanaume wa kuleta mazoea ovyo.
don't push this on our side, na mwanaume si ndo kichwa cha familia?? Yeye ndo anapaswa awe mfano wa kuigwa kwenye jamii.!!
 
Wanaume wanagonga ovyo ndiyo wanapendwa sana wanawake. Utakuta wanawake wanakimbizana kwa jamaa, huyu anatoka, baada ya muda anaingia mwingine halafu wanakuwa safi na wanakuwa na wivu sana na jamaa. Sasa mimi ambaye ninaye mwanamke mmoja atataka anisumbue na mwisho wa siku unaanza kugongewa.
 
Mnaboa hakyamama, mwanaume unakuwaje cha wote??
We vp umerogwa au mwanaume aweje cha ote. Nyie wanawake ndo mnakuwaga cha wote. Ni vyema funguo moja ikifungua kufuli zaidi ya moja kuliko kufuli moja kufunguliwa na funguo tofaut. Hapo upo?
 
Wanaume wote malaya kasoro boyfriend wangu.
Fala wew malaya wew tu sema tena huyo boi wako ndo uskute malaya kweli maana kuna wanaume ni silent killer siku hizi hatutumii simu kuna njia zingine zimekuja. Sasa huyo unaejiaminisha nae ndo malaya na ww mwenyewe utakuwa malaya
 
Kuanzia utolewe bikra km unae huyo huyo basi kweli si malaya lkn km sio yeye basi wew ni malaya na haina haja uvae nguo maana hizo sio sehem za siri tena vua nguo utembee uchi.
 
We vp umerogwa au mwanaume aweje cha ote. Nyie wanawake ndo mnakuwaga cha wote. Ni vyema funguo moja ikifungua kufuli zaidi ya moja kuliko kufuli moja kufunguliwa na funguo tofaut. Hapo upo?
Umepanick bruh'..
Relaaax.!!
 
Hahahha nipo nae huyo huyo. Kuna jengine?
Kuanzia utolewe bikra km unae huyo huyo basi kweli si malaya lkn km sio yeye basi wew ni malaya na haina haja uvae nguo maana hizo sio sehem za siri tena vua nguo utembee uchi.
 
Wewe unaita mwanaume "boi" inaonyesha wewe bado teenager . Ile usiku mama yako anakupata bora angelala usingizi. Taka taka
Fala wew malaya wew tu sema tena huyo boi wako ndo uskute malaya kweli maana kuna wanaume ni silent killer siku hizi hatutumii simu kuna njia zingine zimekuja. Sasa huyo unaejiaminisha nae ndo malaya na ww mwenyewe utakuwa malaya
 
hiyo ni one of strategy ya kupata access ya papuchi ukiwa available nao sana utumiii nguvu nyingi
 
Huu uzi umenikumbusha "mpuuzi" fulani hivi siku hiyo nimekaa naye mahala tunakula pombe, ukapigwa mziki wa Diamond ule "inama inama", ghafla akasimama, baa medi alikuwa anapita si akaanza kumshikilia eti wacheze!
:mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad:
Mie kuhoji najibiwa eti "si ulikuwa mziki tu..."
 
daa huyo mwamba alizingua au na wewe aukuwa user friend ha ha ha
 
Huu uzi umenikumbusha "mpuuzi" fulani hivi siku hiyo nimekaa naye mahala tunakula pombe, ukapigwa mziki wa Diamond ule "inama inama", ghafla akasimama, baa medi alikuwa anapita si akaanza kumshikilia eti wacheze!
:mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad:
Mie kuhoji najibiwa eti "si ulikuwa mziki tu..."
🤣🤣🤣 Lakini si mziki tu.

Au ndio yule muhindi sijui mwarabu.
 
Back
Top Bottom