Wanaume wengine wamejaliwa

Wanaume wengine wamejaliwa

Idhae

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
609
Reaction score
277
Nina rafiki yangu mmoja aliniomba nimsindikize kijijini kwao. Tulipofika huko tulikuta binti wa jirani na familia yake kamkimbia mumewe baada ya miezi mitatu ya kuolewa.

Wazazi wa pande zote mbili walikuwa wamekusanyika ili kutafuta suluhu.

Binti aliulizwa chanzo cha kumkimbia mumewe lakini alikuwa mzito kukieleza, baada ya kubanwa alisema hivi 'mimi mume wangu kila mara anataka tendo la ndoa, na hufanya kwa muda mrefu masaa 4 hadi 7' mwisho wa kunukuu.

Wakina mama watu wazima waliokuwepo walimwita chemba, na hatukujua waliongea nini na hatma yao hatukuijua kwani tuliondoka.

WAKATI WANAUME WENGINE WANAONEKANA DHAIFU KWA KUKOSA NGUVU ZA KIUME ZA KUTOSHA, WENGINE WANAKIMBIWA KWA NGUVU KUWA NYINGI

Ama kweli wanaume tumetofautiana
 
kawaida sanaaaa.... masaa manne!!!! aache uvivu huyo mwanamke
 
Masaa4 mpaka7, umetunga hii hadithi tena bila kufikiria
 
ata mpira wa miguu japo wanacheza wengi, unachezwa 45 mints then break alafu wana maliziwa 45 zilizo bakia, na wanachezaji ni watu 22...sasa uyo mchezo watu wana cheza maasa manne ni mchozo gan tena wanacheza watu 2? hapana....labla wakifika wanalala masaa manne....
 
kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa saba mchana eeh? haya bana, hongera kwa kukaribishwa kwenye kikao cha ndani kisichokuhusu.
 
Hajabarikiwa huyo, ni kilema hicho. Anaenda masaa mengi sababu uume wake una ganzi, kilema hicho hamna cha ufiti wala nini hapo. NB: uongo mwingine si mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom