Kweli kabisa na wanapenda kulazimisha mambo kisa wana pesa. Mtu anakurupuka tu kuoa pisi kali kwa kigezo ana pesa za kumtuliza mwisho wa siku anajikuta anaua
Japo wametoa mapovu hapa ila ukweli wameupata waende kupata tiba sahihi

Oa ukiwa shujaa sio kutwa kujishtukia. Kama una uwezo wa wastani onyesha una uwezo huo sio kujiweka juu unamvuta mrembo anakuta yaliyomo sio anaamua kukupiga matukio