Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 852
Naishi na watu naona mengi, ila Mungu saidia kizazi hikiwewe itakuwa ni mchepuko.......ushapata mume unawaharibua wenzio
Wengi tumeathiriwa na tamaduni, ni ngumu sanaHivi inawezekana kuingia na makubaliano na mwanamke wa kibongo umlipe akuzalie mtoto then msijuane?
Mnajiangamiza kwa misemo yenu ya kujitia moyomwanaume kuwa na mchepuko ni sawa na nchi kuwa na vyama vingi vya siasa
nataka watatu wanizalie watoto watatu, halafu mama zao tusijuane kabisaWengi tumeathiriwa na tamaduni, ni ngumu sana
Wewe umechepuka na nani?Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini
1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea
WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani
Ova
wao wanachepuka na wake /wasichana ambao bado hawajaolewa?,utajuaje ni mume wa mtuNitafanya yote ila si kutembea na mume wa mtu
Mimi nachepuka na weweWewe umechepuka na nani?
Kwa hiyo hili ni tangazonataka watatu wanizalie watoto watatu, halafu mama zao tusijuane kabisa
nitalilipia usijaliKwa hiyo hili ni tangazo
Naunga mkono hoja, ni demoklasia hata mabeberu wanaunga mkono hilo.mwanaume kuwa na mchepuko ni sawa na nchi kuwa na vyama vingi vya siasa
KabisaHalafu ukipata maradhi ya pressure uanze kuzingizia ni ya ukoo,kumbe mchawi ni wewe mwenyewe...