Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
588
852
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
 
Wewe umechepuka na nani?
 
Aiseeh, uzuri ni kwamba tunachepuka na hao hao matha house unawapa warning wafanye maombi, sema wanawake ni wajanja wanachepuka asubuhi sana (either njiani wakati wa kwenda job au biashara na huko kazini kabla wenzake hawajaja), mida ya breakfast na lunch.
Ikifika jioni wanawahi nyumbani kama vile hakuna kilichotokea.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom