wanaume wengi ni rahisi sana kutongozwa!

wanaume wengi ni rahisi sana kutongozwa!

Sina uhakika na asilimia zako..but so to speak ni kweli kabisa to some extent kwa sisi wanaume kukwepa mtongozo naonaga ni ngumu sana...Inaweza ikawa labda ni ule usemi wa 'USIMSIFIE MBIO BABAAKO BALI MSIFIE PIA ANAYEMKIMBIZA'...May be..ntajaribu kutafiti zaidi...By the way nivea nimeona una kisanga cha beki3 wako..imeendaje mpendwaje??

acha tu kaka yangu SnowBall sijaamua chakufanya ndugu yangu wewe unashauri nini jamani ,nimekumic sana wewe mbona kimya sana?
 
Last edited by a moderator:
Mie nipo ndugu yangu...si unajua dunia kubwa hiii...hebu twende chobisi unambie ulipofikia na mimi nijazie....

acha tu kaka yangu SnowBall sijaamua chakufanya ndugu yangu wewe unashauri nini jamani ,nimekumic sana wewe mbona kimya sana?
 
Hii inaukweli kwa asilimia 99% wanaume wengi hutongozeka haraka sana na wengi ni easy going hawana msimsmo na ndoa au na mahusiano yao tamaa imewajaa na sijui ni kwa nini jamani vive huwa nasikitika sana.unaona wengi huku wanasema shemeji kamtega kumbe dada wawatu ana fanya kila kitu kwa heshima na good will ,ukimtongoza mwanaume akakuambia sorry i have my family mke na watoto sitaki habari zako hamna kabisa,tatizo ni kwamba wataonekama washamba na kadhalika ,labda waje waseme wenyewe hapa kwanini wanaiva haraka kama maharage ya mbea
nyie vipi mtu unashinda kwenye madanguro na mabar kutafuta mademu halafu anapatikana wa kujileta mdomoni kwann usimtafune? kwangu haihitaji kutongozwa dalili tu mi tayari
 
Kiasi kikubwa ni kweli, nilishawahi kukutana na case mbili tatu kuambiwa live, nilikua strong enough kusema na kuisimamia NO yangu. na nilionekana kama sio, hata jamaa zangu walinisuta kweli kweli lakini sikujali.

Wanaume na sisi tunachangia kuwaposha washkaji wenzetu wakati mwingine kwa ushauri mbaya au kwa kuwacheka na kuwasema vibaya wanapokataa 'zali'. Utu na afya kwanza, zali baadae.
mm siwezi kukataa demu yeyote labda awe ana marks 8 i.e hana mvuto
 
Af ni wepesi sana kukubali hata kama unampima tu imani yake....



Maadili yameshuka sana sikuhizi, 1900-1985 kulikuwa hakuna mmomonyoko mkubwa wakimaadili kama sasa, mtu anamke wake lakini anatongozwa na changudoa, au rafiki wa mchumba wake nayeye bila hiana anakubali kumsikiliza na kutekeleza ushetani! Aibu ptuu!!
 
Mi ukinitongoza sikuachi i swear,who are you mpaka nikuache,
labda uwe na sura ya babako
 
..itamchukua mwanamke muda wa kutosha kuhangaika na kujipanga atafikisha vipi hisia zake kwa mwanaume aliemzimika........mara nyingi mwanamke huyu ataishia kuumia kwa kipindi kisichojulikana hasa ikitokea mwanaume nae hana habari.............

hiyo ni kweli. sasa basi vuta kasi mpe ukweli wake...wanaume walio wengi huwa hawajui kukataa.na ndio maana hata wanapokua wanamtongoza mwanamke huwa akili yao inawaza NDIO na humshangaa mwanamke anaesema NO na kuona kama anamsumbua...

Inasemekana pia hata wale ndugu zetu walioamua kujiunga na mtandao wa jinsia moja nao ni hivyo hivyo suala la kusema HAPANA huwa ni gumu sana kwao.Hii ni hatari sana...source:utafiti usio rasmi.

Utafiti usio rasmi pia......Wanawake wanaotongoza kwa maneno wanaishia kumegwa na kuachwa wakitafakari
 
You see!!!
back to the point, hata wewe kakupata kirahisi tu japo unaona kama kumbandua umemkomesha...sa hivi anacheka tu!

my point ni kwamba wanawake ukiwagomea wanaanza kuongea mambo mengine. Sasa mpaka kwenda kuuliza wadogo zangu kama nasimamisha ndo nini? Maana alinitega mpaka basi ndo maana alifikia hatua hiyo. Ili kumaliza ujinga nikaamua kumvuruga na kula kona. Huwa ananambia ye alitaka tuwe wote.
 
Mwanaume ukitongozwa ukikataa wanawake wanaanza kuhisi vbaya na kuwa na waswasi, mara oh huyu mzima kweli, dawa ni kuwatungua tu
 
Hii inaukweli kwa asilimia 99% wanaume wengi hutongozeka haraka sana na wengi ni easy going hawana msimsmo na ndoa au na mahusiano yao tamaa imewajaa na sijui ni kwa nini jamani vive huwa nasikitika sana.unaona wengi huku wanasema shemeji kamtega kumbe dada wawatu ana fanya kila kitu kwa heshima na good will ,ukimtongoza mwanaume akakuambia sorry i have my family mke na watoto sitaki habari zako hamna kabisa,tatizo ni kwamba wataonekama washamba na kadhalika ,labda waje waseme wenyewe hapa kwanini wanaiva haraka kama maharage ya mbea
I see! kwahiyo kila mwanaume anatongozeka kwa kila mwanamke? Please tuheshimiane! Habari za kuitana maharage ya Mbeya si sawa kabisa. Maana maharage ya mbeya hayachagui chungu wala maji yenyewe ni kuchochea tu. Lakini si kweli kwamba mwanaume anakula kila kijacho. Hata huyo mzuri mwenyewe anatakiwa ajipange. Kama ingekuwa hivyo sisi wengine tungekuwa tulishakula wanawake wote maofisini mwetu!

Mimi kwa upande wangu naona kama wanawake hasa wake za watu siku hizi hawajiheshimu kabisa. Maana utakuta mmama mwenye heshima zake tena anajiita mlokole, mambo anayokufanyia unajiuliza mara tatu kulikoni. Bado hajaamua kukutumia message za aibu ambazo usingetarajia mtu kama yeye akutumie. Tabia za wake za watu wa siku hizi huwa zinanifanya nakosa imani hadi na mke wangu. Nafikiri badala ya kusema wanaume ni easy going tuseme sasa hivi kila mtu ni wa kujibebea tu. Unaweza kukutana na mmama kwenye daladala, na kufika mwisho wa kituo ukaingia naye guest. Hayo ndo maisha ya kisasa, hayamhusu mwanaume wala mwanamke.
 
mimi wanawake wengi tu wananitongoza lakini siwakubali.

namimi ivyoivyo kwanza naogopa hu mchezo umekaa PABAYA kila mtu abaki na alivyo pokea kwa Mungu atulie kivyake hata ukija na Greda NGOOO!!!!!!sitaki nache Kaka wa Mwenzio.....
 
kusema kweli mimi hua ninaogopa sana nimesoma kutokana na makosa
Napenda sana kuleta masihara kuhusu wanawake lakini mpaka sasa nimeeza kushinda majaribio mengi sana sio sipendi bali napenda sana kuangalia wanawake na wapo walionipeleka mpaka nyumbani eti kitu hiki kimeharibika eti bomba limekwama
nilipokuwa nikifanya kazi pizza deliver ndio nilijuwa kuwa mwanamme ndio mali huezi kaa siku 5 bila ya kutongozwa na mwanamke kila size
 
Back
Top Bottom