mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
..itamchukua mwanamke muda wa kutosha kuhangaika na kujipanga atafikisha vipi hisia zake kwa mwanaume aliemzimika........mara nyingi mwanamke huyu ataishia kuumia kwa kipindi kisichojulikana hasa ikitokea mwanaume nae hana habari.............
hiyo ni kweli. sasa basi vuta kasi mpe ukweli wake...wanaume walio wengi huwa hawajui kukataa.na ndio maana hata wanapokua wanamtongoza mwanamke huwa akili yao inawaza NDIO na humshangaa mwanamke anaesema NO na kuona kama anamsumbua...
Inasemekana pia hata wale ndugu zetu walioamua kujiunga na mtandao wa jinsia moja nao ni hivyo hivyo suala la kusema HAPANA huwa ni gumu sana kwao.Hii ni hatari sana...source:utafiti usio rasmi.