Hii inaukweli kwa asilimia 99% wanaume wengi hutongozeka haraka sana na wengi ni easy going hawana msimsmo na ndoa au na mahusiano yao tamaa imewajaa na sijui ni kwa nini jamani vive huwa nasikitika sana.unaona wengi huku wanasema shemeji kamtega kumbe dada wawatu ana fanya kila kitu kwa heshima na good will ,ukimtongoza mwanaume akakuambia sorry i have my family mke na watoto sitaki habari zako hamna kabisa,tatizo ni kwamba wataonekama washamba na kadhalika ,labda waje waseme wenyewe hapa kwanini wanaiva haraka kama maharage ya mbea
Usishangae eti, mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja eti, angalia wanyama wengine mamalia na wasio mamalia dume mmoja majike kumi au zaidi? nani kafuga jogoo idadi sawa na tetea. Hivyo taratibu zetu binadamu ndizo zinatukaba eti. Kumbuka mwanaume haindi MP hana muda wa kunyonyesha yeye anahitaji tu lakini mwanamke ni tofauti.
Ila kama demu mzuri sikatai hata niwe mimi, lakini kama halipi no.