Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi

Nakushauri olewa na dume ambalo halina nguvu za kiume. Ila baada ya ukame wa muda mrefu naamini utatutafuta marijali.
 
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi

nani kasema hivyo...kupungua kwa nguvu za kiume inawezekana ikawa ndio sababu ya kuongozeka kwa nguvu za kike....halafu kila mtu akiwa anasuburi mwaka mzima, muathirika mkubwa wa kusubiri muda wote huo atakuwa nani? Au ndio mambo ya kugusa kwa vidole
 
kweli kabisa wanaume wengi hatuna nguvu na inasababishwa na mambo mengi vyakula,ugumu wa maisha na wamawake wenyewe unakuta ofisin mwanmke kajaliwa hips halafu kavaa min ikiinama shida akikaa mbele yako tabu tupu sas wanaume tumeshazoea kuona maumbile ya kike kiholela kwa hiyo kunakuwa hamna cha ajabu hata hisia zinaisha zaman kuona chupi ya mwanamke ni ishu leo hii majumba chupi zote zinaanikwa sehemu moja hata ukiwa kwenye daladal lazima uone chupi in short macho yamezoea kuona maumbile ya kike ya siri ndio maana wadhungu wananyonyona sana ili kuweka ile kitu stable

I am not one of them...at least hilo nina uhakika nalo
 
tema mate chini Smile.....

Anashabikia janga. kuna wakati wamama wanakosa hudma sababu ndio kama hizi. ukikosa huduma hii muhimu ya nature kwa muda mrefu akili yako haitafanya kazi sawaswa. Unakuwa na ugonjwa wa sexual tension , ambao ni mbaya kkwa afya. Kwa hiyo kama mwanamke alivyo dawa kwa mwanaume hivyo hivyo mwanaume kwa mwanamke. Wakiendelea kukosa nguvu basi hilo litakuwa janga kwa wanawake wote.
 
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi

acha hizo wewe! kwa taarifa yako wanawake walioachika ndio wanasababisha maambukizi kwa asilimia kubwa wakifatiwa na wanawake/wasichana vyuoni.
 
Hawa Jamaaa kweli shule yao haiwasaidii...ratio ya Tz inaruhusu,nina wanawake wa4, acha nightstand ..niwapige 3 x 4/week ????? Its obvious watapigwa Moja moja wote..ya Nini Nijichoshe wakati Urithi wetu ..Mambo ya Kumpiga 3 au 4 hayapo siku izi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
naunga mkono hoja
 
Huoni hata huyu jamaa anataka kujihakikishia uimara kabla muhusika hajafika...............!

nathan.jpg

Wengi hawana nguvu ile lukuki wanazo mpaka wanagaia machangudoa, nyumba ndogo, mashemeji, mama mkwe, mama mwenye nyumba, mawork mates! Kama ndo hivyo hata machangu wasingekuwepo! Huyo dokta anataka promo, watu mpaka wife anaomba likizo?
 
Bondpost na ndio sababu waganga wa miti shamba wanaouza dawa za nguvu za kiume wameongezeka kwa sababu wanaume tunatafuta nguvu za kiume za ziada na sio kwamba hazipo...........
Sasa kama demand iko juu tutafanya nini.................!
 
Last edited by a moderator:
Watu hawajiamini,mwanamme kamili bao la kwanza ni ndani ya dakika 1 hadi tano,sasa watu wamemezeshwa sumu kwamba lazima uende nusu saa bao 1 ukienda chini ya hapo basi una upungufu wa nguvu za kiume,wanaume tujiamini,kama unataka kupiga bao moja kwa nusu saa zipo njia natural(withdrawal) na great foreplay na si kutumia madawa,achaneni na hayo madawa.

Kwa ukweli tumeumbwa tofauti. Mie maishani mwangu sijawahi kwenda bao saba sijui kumi hata sijui nyie wenzangu inakuwaje?? Si kunakuwa na mafuriko ya zile mchuzi? Kitu inapigwa foreplay kama dk ishirini then bao la kwanza ni 40 minutes, ukiwa na ukame unaunga hapo ndipo anaomba apumzike maana kuna dk30 nyingine. Kama ndo naye wa ukweli mkipumzika ukaja kupiga round ya tatu baada ya kunywa wine au kawhisky kidogo na kurembana kidogo ndo atajuta! Kwa kweli ndugu zangu wanaume jitahidi usimalize fastafasta yani huwa naona ni jinsi gani mwenzako anavyokuwa disappointed, yeye ndo anasubiri utwange huku unakoroga na kusugua ili amalize ghafla chorororororoooo! I can imagine unavyomkata stimu hata ukipiga ya pili sijui kama unammaliza. Inatakiwa we ukimaliza moja mwenzako kapiga mbili au tatu yani unakuta ile round yako ya pili mwenzako anakupa wewe kama discount maana anakusubiri umalize labda apige kamoja flani. Raha ila jamani.
 
Wanaume wengi siku hizi ni majoka ya Kibisa.
 
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi

Smile,
Isijekuwa kinyume chake UKIMWI ukaongezeka maradufu, kwa wanawake saba kumng'ang'ania mwanaume mmoja.
 
nani anataka nimpunguzie..midume mtaacha kukosa nguvu kweli,mnalewa sana mipombe,hamli vizuri,mazoezi kushney..nguvu lazima mkose,afuu hizi pombe kama kimorali aka banana,kijogo sijui bauncer ni mbaya sanaa mix na mirungi vijana wengi lazima wa saidiwe
 
ritz wengine wananza kuchokonolewa chemba zao wakiwa wadogoooooooo! hata kama alizaliwa rijali unakuta baada ya muda na yeye ni victim, enzi hizo kabla sijaolewa nilikutana na mkaka, nikasema ni mkaka wa haja, ila wakati tunakiss for the first tym nikaona ukimshika makalio anapiga ukunga wa ajabu, nikasema hichi nini, hebu leo nijionee, ukimuweka v.i.d.o.l.e anafurahia mpaka basi anataka niendelee tu kumuweka tu, lakini ku-du ha du wala nini?? na hiyo ni miaka ya 2000 alikuwa 24yrs old mimi ndio tu nimemaliza A level. lol nilishangaa sana na ndio ukawa mwisho wangu mi na yy! so mambo mengi yanachangia now days guys kuwa hawako imara kama simba! ila huyo kaka anatamani kuwa normal mpaka kesho, hajaoa, ila huwa tunawasiliana na ninampa moyo kuwa akiamua anaweza kuacha na akawa mzima tena!
 
Last edited by a moderator:
Bondpost na ndio sababu waganga wa miti shamba wanaouza dawa za nguvu za kiume wameongezeka kwa sababu wanaume tunatafuta nguvu za kiume za ziada na sio kwamba hazipo...........
Sasa kama demand iko juu tutafanya nini.................!

Umenena mkuu, kwanza wanawake wenyewe ni wengi na wanataka wapewe za nguvu, sasa ufanyaje? Nguvu unakuwa nazo ila sema wako wengi wanahitaji huduma tena wao wenyewe ukiwa na mpingo unapewa promo, sasa utawasaidiaje si inabidi kula mkuyat?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom