Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat??????????????????????
yaani Smile usishangae kabisa! thats very real na hiyo ni mwaka 2000, tayari alishakuwa punga, sasa cjui walianza lini kumshikisha ukuta, anaishi US na huwa tunawasiliana mpaka leo! ila huwa namsisitizia aache mayb atabadilika. Smile we acha tu, tena nina rafiki yangu ye kaolewa na mshkaji anagonga na anagongwa alikuja kujua wana watoto wawili kuwa bosi wake mwenyewe ndio alikuwa anampakua, wamedivorce huyo rafiki yangu amepanga kwake na wanae and life goes on!
 
Last edited by a moderator:
whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat??????????????????????
Smile kitu kingine nikwambie epuka sana wanaume ambao ni mahandsome kupitiliza, halafu wanafanya mazoezi ili kupoteza kuwa wao ni mapunga, na wasafi kupitiliza, yaani malotion, maperfume na madeodorant ya kufa mtu, mmmhhhhh wengi wao ni mapunga! nakwambia tu usije ukaangukia, tafuta tu mwanaume mwenye sura ya kiume, yaani nadhani unanielewa, yaani hata mkitoka inajulikana nani baba, nani mama! na first do yako na wewe kagua angles zote mpaka chamba kama marinda yamekamilika! chunga sana usije olewa na PUNGA! lol! lord have mercy!
 
Last edited by a moderator:
yaani Smile usishangae kabisa! thats very real na hiyo ni mwaka 2000, tayari alishakuwa punga, sasa cjui walianza lini kumshikisha ukuta, anaishi US na huwa tunawasiliana mpaka leo! ila huwa namsisitizia aache mayb atabadilika. Smile we acha tu, tena nina rafiki yangu ye kaolewa na mshkaji anagonga na anagongwa alikuja kujua wana watoto wawili kuwa bosi wake mwenyewe ndio alikuwa anampakua, wamedivorce huyo rafiki yangu amepanga kwake na wanae and life goes on!
daaaah sasa nitamkaguaje my dear?
 
kweli kabisa wanaume wengi hatuna nguvu na inasababishwa na mambo mengi vyakula,ugumu wa maisha na wamawake wenyewe unakuta ofisin mwanmke kajaliwa hips halafu kavaa min ikiinama shida akikaa mbele yako tabu tupu sas wanaume tumeshazoea kuona maumbile ya kike kiholela kwa hiyo kunakuwa hamna cha ajabu hata hisia zinaisha zaman kuona chupi ya mwanamke ni ishu leo hii majumba chupi zote zinaanikwa sehemu moja hata ukiwa kwenye daladal lazima uone chupi in short macho yamezoea kuona maumbile ya kike ya siri ndio maana wadhungu wananyonyona sana ili kuweka ile kitu stable

Naunga mkono asilimia mia moja sadi sana.
 
Duh! Pole sana kwa mkasa. Ila kwa upande mwingine wanasaidia sana katika sekta ya usafiri sema hawana mwongozo

Ni kweli mazee, muongozo ni muhimu, unajua wengi wao walikuwa ni waendesha maguta na baiskeli, kwa mfano wale wanaopaki tanki bovu, makonde, africana, mbuyuni na tegeta most of them walikuwa wanatoa huduma ya baiskeli zilikuwa zinabeba watu kwa mia mbili kama ni karibu, mia tano au buku sasa hivi wote wana bodaboda, waweza kujiuliza ni lini amejifunza na kufahamu sheria na safety measures za chombo chake? Unajua bodaboda ni usafiri mzuri kwani ni cost efffctive na unapunguza unnecessary inconveniences tatizo wale mabwana sasa wamekuwa hatari kabisa! Ah, mungu atunusuru maana kila kitu kina madhara yake ukiacha faida.
 
Ebu tupe maujanja mkuu, hiyo ya bao 1 nusu saa.

Withdrawal method unastuaaa weeee wazungu wakianza kuja una-withdraw machine kutoka amboni craters then unamwagia nje,then unafuta fasta fasta unaendeleza libeneke mpaka mda ambao utaona anakaribia kufika kibo ndio unashushia humo humo.
 
Smile kitu kingine nikwambie epuka sana wanaume ambao ni mahandsome kupitiliza, halafu wanafanya mazoezi ili kupoteza kuwa wao ni mapunga, na wasafi kupitiliza, yaani malotion, maperfume na madeodorant ya kufa mtu, mmmhhhhh wengi wao ni mapunga! nakwambia tu usije ukaangukia, tafuta tu mwanaume mwenye sura ya kiume, yaani nadhani unanielewa, yaani hata mkitoka inajulikana nani baba, nani mama! na first do yako na wewe kagua angles zote mpaka chamba kama marinda yamekamilika! chunga sana usije olewa na PUNGA! lol! lord have mercy!

Halafu maongezi yake ni kuwa alienda savannah, mara sijui blackberry yangu, mara ipad! Marafiki zake unakuta ni mamiss au madesigners! Kila ukimkumbatia anataka umuwekee mikono kwenye mas.a.bu.ri, anavaa visuruali taiti! Anapaka lip shine na akienda saluni anasugua kucha, miguu nk! Hapo anza kumfatilia nyendo zake utakuta 'mtoto anachezea umeme watu wanaunganisha manetwork tu!'. We ukimuona hivyo tu, wakati wa majamboz akikaribia ku-burst piga cha kati utamjua tu. Maana dume halisi lililozaliwa vyema na mamaye hata ukishusha mikono kupapasa kule masaburini atakuwa uncomfortable!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kupiga bao moja ndo kukosa nguvu za kiume? au kupizi ndani ya dk 2? Hakuna kitu kama hicho bana, ni akili zao tu zinajenga hofu wakati wa tendo la ndoa. Ila kama akili yako haiogopi unaenda hadi smile anakimbia. Achani hofu wanaume
 
Wanaume tunakazi sana "what you is not you get" unaweza tumia fedha nyingi, ushawishi mkubwa pamoja na muda lakini mabinti wengi wazuri kwa nje lakini kwenye bed problem, unaanza kujutia fedha na muda nguvu zitatoka wapi only one goal you go.
 
haaaaaa.52% mbona wengi sana jamani?kumbe wamevaa tu suruali ndan mambo hakuna.?poleni.
 
naombeni kuuliza, ukosefu wa nguvu za kiume una maana ipi, je ni
  1. wanaume kumaliza mechi mapema?
  2. wanaume kutowafikisha wanawake zao kileleni?
  3. wanaume kununua dawa za kuongeza nguvu?
kama sio hizo hapo juu, je ni sababu ipi nisiyoijua maana sijasikia hii kwa rafiki zangu wa karibu hivyo sielewi hii mada ina ukweli kiasi gani
 
Wanabodi.

Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Paulo Mhame amesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume.

Alisema pamoja na tatizo hilo kuwa kubwa, cha ajabu serikali bado haijakubali kutumia pesa kufanya utafiti wa kuandaa dawa ya kisasa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume...watu wengi wanamiminika kwa waganga wa asili kusaka dawa alisema.

Mpaka sasa waganga wa jadi zaidi ya 1,000 wamejiandikisha nchini kwa wanatoa dawa za kutibu upungufu wa nguvu za kiume,

Yeye mwenyewe ana nguvu za kutosha? maana na yeye ni mganga wa tiba mbadala
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom