Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 138
- 536
Na WW Mvaa kipensi NN blazaSawa dada lao, wamekusikia.
Una mimba changa inakusumbua mkuuNa WW Mvaa kipensi NN blaza
Dunia inateseka kwabavu ya ukimyaa WA watuu wenye mchango +. Kukaa kimya ilighali kizaz linapitia sio sawaMzee mbona kama unaingilia na kufuatilia Maisha ya watu....!!?
Muda huo unaupata wapi...?
Kulala kupo tuMkuu embu tumia logic usiku huu una post ungekuta ungetakiwa uwe umelala
Play nakaziaaaTuna kizaz cha wanaume wanaopenda kutumia hisia sana instead ya kutumia logics and facts
Unakuta Mwanaume 30+yrs Bado ana stress za mapenzi ,yupo . single hisia zote ziko kwa Wadada mwenye makalio makubwa mwanamke akimkataa tu anakua full stressed blaza tumia logic
Mwanaume anacare sana mwonekano hatak hâta kuvaa suruali ni vibukta tu ili asifiwe n'a Wadada a feel good
Mwanaume anashinda gym atengeneze sixpack na kifua
I'li afeel good akisifiwa. Na washkaj pamoja na wadada.
Wanaume anakua muoga kuanzisha biashara makampun etc kisa ataumia akipata hasara .Mwanaume jilipue tunajifunza kupitia makosa
Mwanaume Simba/yanga inafungwa analia machozi kama Caren wangu WA miaka 4.
Mwanaume Una hisia za simple life tu ukipata Challange kidogo tu unawaza kujiua.
Wanaume kufanya mambo kihisia tuwachie wanawake.
Sio makalio ya wadada tu yana ruin your life .
Kwakutumia logic lakinKulala kupo tu
NakubalHapo kwenye gym apo sio wote wana enda gym kwajili ya sifa kumbuka wangine hio ni niche
na kuva pens napo umeongea poa lkn lazma useme ameva pens akiwa wapi kama ni kwenye maish ya mta na hakuna ulazma wa suluali sivai mm 😂
Yani Pensi😂
Kama ni facts sio shida tatiZo ni kuandika uongo au matusiHivi kitaalam imekaaje hii tabia ya mwanaume kuwachamba wanaume wenzake hadharani!!