Duh Shantel wanaume wembamba wanajua kutunza wanawake, wanawaoa wakiwa wembamba kuliko hiyo Avatar uliyoisema matunzo ndo yanawafanya wawe kama Mabroila lakini wanaume wanene wanajali zaidi matumbo yao. Wee Angalia tu hata kwa marais tuliowahi kuwa nao hapa Tanzania. Angalia rais mnene mkewe alikuwaje na rais mwembamba hali kadhalika, By the way umenichekesha leo.Habari wakuu, hivi mmenote wanaume wembamba sana wanapenda sana wanawake wanene?Yaaani utakuta kijana mwembambaaa mwanamke wake mnene kupita kiasi, hii inatokana na nini? kuna uwiano gani kati yao? Yaani kuna kaka mmoja mwembamba kama avatar ya fidel ila anapenda mizigo mikubwa ile mbaya, na sio huyo tu wengi nawaona mitaani mwanaume mwembamba mkewe kachana hatari, hii ndio kusema wembamba wanavutiwa na wanene au?
umeonaee...hasa pale anaposema WENGI WAO...badala ya baadhi yao...swali,kama mwanamke alinenepa baadae,unaweza conclude hvyo.?unene si kama kichogo,huja wakati wowote
Duh Shantel wanaume wembamba wanajua kutunza wanawake, wanawaoa wakiwa wembamba kuliko hiyo Avatar uliyoisema matunzo ndo yanawafanya wawe kama Mabroila lakini wanaume wanene wanajali zaidi matumbo yao. Wee Angalia tu hata kwa marais tuliowahi kuwa nao hapa Tanzania. Angalia rais mnene mkewe alikuwaje na rais mwembamba hali kadhalika, By the way umenichekesha leo.
Kuna wengine wamezaliwa vibonge hiohivo na sio kwa ulafiUnene hauji hivi hivi kama hupendi kupakia maakuli...........................lazima uwe mlafi hivi na ndiyo utakufuata polepole............
Kwa hiyo waume zao ni walafi kama alivosema mkuu apo juu?Hivi mke wa Mkapa ni mwembamba........................na mke wa Mwai Kibaki na yeyey ni slim fit na wa museveni je ni sindano...............na wa kagame yukoje................................................................just mouthing your thoughts............
heheh...nliposema wkt wowote nilimaanisha,si lazima uzaliwe nao,..mmh habari ya ulafi hpo,subiri wenyewe waje kujiteteaUnene hauji hivi hivi kama hupendi kupakia maakuli...........................lazima uwe mlafi hivi na ndiyo utakufuata polepole............
Hahahahaaaa! mbana hata wembamba wanakuwaga na wembamba wenzao pia? ila pia nishaona kimtu chembamba na jimama hilooo mpaka unaona kama anaonewa hivihapo wanatafuta comfortability wote wakiwa matembo shughuli huwa ngumu sana. Wembamba wako swift na very mobile hivyo huwa rahisi wao kujipenyeza kunako mabonge. Lakini hiyo sio rule of thumb ni kwa baadhi tu, kuna wengine wembamba na pia hupenda miiba.
Mimi ni mwanaume mwembamba kama sindano....ni kweli navutiwa na wanawake wakubwa/wanene,big round face,big booty,big boobs....but aflat stomach,kwa mwanamke tumbo au kitumbo kilichojitokeza ni dalili ya uvivu na kuto take care ....not a fan!ndio hivo visa vya kuwa na mabonge kupitiliza au vipi
Ni visa kwa nani!!?Kwani wanawake wembamba wao wanakosa watu?!Na kama wanapata wanapata wa aina gani?!Kama wanaume wanne wanahusika basi thread yako ingehusu wadada na wakaka wembamba wahusudu wanene...kitu anbacho hakitakua na ubaya maana kila mtu anapata anachotaka!!ndio hivo visa vya kuwa na mabonge kupitiliza au vipi
na ww lizzy kwa kukosoa wenzako hujambo, mie kwa leo nimeona nilete hii coz kuna watu nawafahamu ni wembamba sana kupita kiasi ila wanawake wao ni wanene kupitiliza na huwaambii kitu, nikawa najiuliza maybe kuna connection yoyote na si mbaya kupata opinion za watu, toa basi mawazo yako kuhusu title ya hii thread lizzyNi "visa" kwa nani!!?Kwani wanawake wembamba wao wanakosa watu?!Na kama wanapata wanapata wa aina gani?!Kama wanaume wanne wanahusika basi thread yako ingehusu wadada na wakaka wembamba wahusudu wanene...kitu anbacho hakitakua na ubaya maana kila mtu anapata anachotaka!!