"Wanaume wembamba na wenye msongo wa mawazo Wanapenda..

"Wanaume wembamba na wenye msongo wa mawazo Wanapenda..

Kama kweli vile!
Nisaidie hapa: ni vipi utamjua me mwenye msongo wa mawazo?

Wanawake wanene na wenye miili mikubwa,

-Utafiti huu umefanyika huko nchini Uingereza kwenye kliniki mmoja na ili wahusisha wanaume wasiopungua 80, utafiti huo ulisema kati ya wanaume kumi wembamba na wenye msongo mkubwa wa mawazo wana wapenzi au wake ambao ni wanene au wana maumbile makubwa..

-SOURCE😀aily mirror
 
Sasa imagine yeye mwembamba mwanamke mwembamba ni wapi na wapi??Si kuumizana tu mifupa mitupu lazima mtu sometimes upate soft pillow ha ha ha SUPERSIZE V/S SUPERSKINNY
 
Sasa imagine yeye mwembamba mwanamke mwembamba ni wapi na wapi??Si kuumizana tu mifupa mitupu lazima mtu sometimes upate soft pillow ha ha ha SUPERSIZE V/S SUPERSKINNY

True kabisa softi softi
 
kimbaumbau kanenepa kawa TUKUNYEMA et kanenepa anahema hema anaumwa pressure, just opinion wana jf sizani iko hivyo for reality
 
Yaah. Am thin na girlfriend wangu alikua bonge. Of course am super stressed by this life.
 
...mwanamke nyonga...tuachie uvuvi pweza tuwavue....USHIKWAPO shikamanaaa
 
Back
Top Bottom