mmmhhhhhh laana tullah hao
Wanajua na wapo tayar kutoiona
MUNGU mwenyewe ameshasema "wanao watumia hao wanaume na wanaotumiwa hawataiona mbingu"
MUNGU mwenyewe ameshasema "wanao watumia hao wanaume na wanaotumiwa hawataiona mbingu"
Mkuu mbona mbingu kila mwenye macho anaiona?
Au kuna ingine imejificha?
Hasira zanini mwanangu itakuko ndesha.
Unaloliona ni ANGA sio MBINGU!
Anga halionekani mkuu! Au uko ganja?
Boflo ndo kusema una maana.gani
Eee MUNGU nisaidie comments zangu zinavamiwa na virusi vya ebola!