Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,856
ukitazama ujumbe huo kwa undani utagundua ni jinsi gani watu wanavyoingizwa taratibu ktk vita vya kifikra na mwisho wa siku wanakuwa mateka na wanatawaliwa hadi akili.
Ee ee ee mungu tuokoe na janga hili la dunia.