Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,738
- 6,642
Nyumbani mke wangu ni mtu mzima,sasa nikitaka kuchepuka tena niende kwa mtu mzima?,nitakuwa naacha nini nafuata nini,tunatafuta radha tofauti na zile tunazoziacha nyumbani,ukikua utayaekewa haya,hata akina mama watu wazima nao wanaruka na vijana wataka flavor tofauti