Wanaume watu wazima kutongoza mabinti wadogo

Wanaume watu wazima kutongoza mabinti wadogo

Hapa inaendelea lkn cc tuonane pm njoo Mara kabla hajaamka mteule wa tume ambae anajua kuwa hakukustahiri ili kuweka Imani kwa wabongo ameamua kufanya yaliyo nje ya chama chake anaweza amkia kwetu njoo pm

Umeanza kupiga politic
 
Habari wanajf,

Kwanini nowdays wanaume watu wazima ambao wengi wao wapo ndani ya ndoa wameshika kasi ya kutongoza mabinti wadogo ambao wengine ni sawa na watoto wao wa kuwazaa kabisa, kitu gani kinachowasumbua hawa watu wazima mpaka kuangaika hivo ilhali saizi yao wapo na wengine wameacha wake majumbani mwao.

Tatzo sio sisi watu wazima ila nyie watoto kuendeshwa na tamaa! Utasikia binti anajitapa " siwez kutembea na kijana mwenzangu hana cha kunipa" manaake? Nyie ndo vishawishi vikuu kwan mngekataa?? Kuna mtu anawalazimisha? Kama dem kakutosa na kuja kwa dad acha wivu piga puli
 
Visukari vinakutana na chumvi,, wewe kiboko
 
Tatzo sio sisi watu wazima ila nyie watoto kuendeshwa na tamaa! Utasikia binti anajitapa " siwez kutembea na kijana mwenzangu hana cha kunipa" manaake? Nyie ndo vishawishi vikuu kwan mngekataa?? Kuna mtu anawalazimisha? Kama dem kakutosa na kuja kwa dad acha wivu piga puli
Mpaka hapo hakuna namna,wakiambiwa acheni kukimbilia chips kuku na juice za azam nao wakakaidi inabidiii.................?
 
Ukitembea na Kijana wa umriwako utachelewa vibaya jaribu uone utaona wenzako wanakimbia wewe umesimama na uyokijana baadae atakuona wewe mzee ataanza kuchukua wadogo kwako na wewe utaanza kuliwa na wazee uku ukiwa umechelewa
 
Asa ndo mwanaume wa miaka 40 atongoze bint wa miaka 18


Nyinyi tukiwatongoza mlolongo wa bili ni mrefu sana.

Utasikia mara mtoto wa shangazi yangu anaolewa hapa karibuni natakiwa mchango wa sare na nauli sina.

Mara tukipanga kutoka out unakuja na msururu wa mashoga kunitambulisha tu mpaka wewe mwenyewe wengi unawashau
 
na hao vizee ni nini zao ......?? zinawasumbua ?? hawajionei huruma na visukari vyao

Chezea utamu wewe kisukari badae..! Vitoto ni vitamu mpaka wazee wameingilia anga zetu...! Ila issues hapa ni chips na smartphone hakuna babu atapata kigori km hana chapaa...!
 
Back
Top Bottom