Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.


ubovu wa mwanaume unasababishwa kwa asilimia 70 na mwanammke mwenyewe.Fikiria usoni umepiga karolight ya nguvu,lakini ndani sasa,mapaja yanamadoadoa,makalio yamejaa sugu utadhani dereva wa trekta,papuchi inatoa uvundo wa ajabu,kisanola hakijanyolewa miezi kadhaa,nyayo za miguu zimejaa machacha,mbaya zaidi kitandi ukifika humuamasishi huyu baada ya kumaliza round ya kwanza iliarudi unabaki umekodoa kama koboko..!!! Mtaani tukiwaona au maofisini mlivyo jipigilia kumbe ndani "manziganyanza"..
 

leo umetupania !
 
Ha ha ha no comment ila na cement point kiduchuu.
Marasta wanajituma saana jamani they are hot ukipiga naee show yaan always kiwango ni cha lami. Hao watanananiii siwaongelei sana kama viwango ni matope au changalawe.
 
Mmmhh !
Sina uhakika sana na hili unalolisema labda tu nikushauri hebu jaribu pande hizi za MWANAKA uone kilichomtoa kanga manyoya shingoni

Na nyie ndo wale wale mnajisifia lakini ndo hata kuperform hovyo kabisa.
 
Umeshalala na watanashati wangapi hadi sasa?

Usijekuwa na kibwawa kama tuta la mpunga ukitegemea uhondo
 

What more can I say?? You kill 'em.
 
Kumbe na sisi wabeba zege bado tuna mashabiki.....niliishaanza kukata tamaa..
 
Ha ha ha no comment ila na cement point kiduchuu.
Marasta wanajituma saana jamani they are hot ukipiga naee show yaan always kiwango ni cha lami. Hao watanananiii siwaongelei sana kama viwango ni matope au changalawe.

There you are!!!!!!!!!!!!!!! na sio hao tu wewe kutana na mwanaume yule ambaye hana u show rum yaani utampenda kwa game lake.

Mie nilishawah kudate wanaume wa aina tofauti sana ila katika wote mmoja alokuwa ni mfanyabiashara tu yaani wa kawaida alikuwa excellent!! ila wale sijui eti nilio waona wanavutia yaani nilijutaa kuwavulia.
Sijui ni chips mayai, sijui ni haya magari wanayoendesha yanaua viuno yaani natafuta jibu sipati.
Labda niwaambie basi wakafanye mazoezi kulainisha viuno vyao
 
Nafurahi KWAMBA leo umetubu hadharani KWAMBA umezini na wanaume wengi ambao ndio umewafanyia utafiti.Ahsante
 
Kumbe na sisi wabeba zege bado tuna mashabiki.....niliishaanza kukata tamaa..

Mie siku hizi natoka na mshkaji mmoja yeye ni fundi mwashi, tu yaani mchana ukimkuta ananinginia kubeba zege unaweza ukalia lakini aoge muingie uwanjani utampenda!
Nimeshauambia moyo wangu STOP SHOW RUM MEN!
 
Umeshalala na watanashati wangapi hadi sasa?

Usijekuwa na kibwawa kama tuta la mpunga ukitegemea uhondo

hAO NLOLALA NAO WANATAOSHA KUJUSTFY MY OPINION!
WATANASHATI MNADEKA KAA MADEMU BWANA SIE TUNATAKA GEMU KAMA VIPI PELEKEN VIUNO VYENU GEREJI
 
inavoonyesha huyu mtoa thread anapenda wenye sura za u handsome kama Avatar yangu ,wengi they dont care,ni heat and run style
 
Aaah wengine tuko fiti bhana. My principle is to give the service to the highest levei of her satisfaction before I consider myself.
 
Mmmh..... labda huyo wa kwako tuu.... muulize wifi yako atakwambia pamoja na utanashati wote nilionao..... miziki wangu anaujua vizuri..... we kama unabisha mwambie akuanzimishe nije nikupe tiba unayo itaka wewe.......ila sithan kama atakubali.... maana anajua utanogewa....!
 

Uko sahihi kabisa. Hata wanawake wazuri usoni, kitandani ni wabovu kabisa hawajui chochote!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…