Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Wanaume siku hizi hujui yupi mwanaume wa kweli yupi mwanamme-jike.
In short wanawake siku hizi tuna wakati mgumu sana kutambua A REAL MAN.
Mwanaume kutwa yu salon - kuoshwa kichwa/nywele, kupaka rangi, kusuguliwa miguu, kukandwa!
Ngozi nyoroteeee, huwezi kujua yupi mwanamke yupi mwanaume.WOTE WAREMBO NA LAINI!
Hii mada imeletwa kwa hisani ya wale wanaoona wanawake wasomi ni mizigo - kina Wiyelele, Asprin, nk
Wapi mamaa Kongosho, Ciello, Smile, na wengine tulonge?
Last edited by a moderator: