Wanaume "warembo" ....mnachusha!

Wanaume "warembo" ....mnachusha!

Hii mada imeletwa kwa hisani ya wale wanaoona wanawake wasomi ni mizigo - kina Wiyelele, Asprin, nk

Wapi mamaa Kongosho, Ciello, Smile, na wengine tulonge?

Ukitaka hii inoge, mwalike lara1 oune moto. Ciello safi, Kongosho?....Unataka mtu atokwe kamasi jembamba hapa, Zion Daughter usimwache....Preta naye Kisiki, Wiyelele mtakula naye meza moja haki ya nani kwa ninavyomfahamu hataki kushindwa.
 
yaani wanamme wa ukweli wanazidi kupungua

Hao wa kiume wanaopungua wanaenda wapi?
Watu hubadilika kutokana na mahitaji ya mazingira yanavyo wabadili sasa omba hayo mabadiliko yawe positive ila yakiwa negative ndo hayo mnayo yasema
 
Huwezi kupinga ukweli kwa hoja nyepesi kama hizi,ukweli unabaki pale pale wanawake walio enda shule kidogo ni
matatizo linapofika suala ya kuoa,ni mizigo ni mizigo!!hata 6x6 ni mizigo khaa!!
 
ila nyinyi mnapokuwa na something ndogo kama kijiko cha cha na mnatakiwa kukoroga pipa la maharage mnashindwa sisi mbona hatulalamiki? iweje nyinyi mnatuona mizigo ktk 6 x 6 . ondoeni vibanzi kwenye macho yenu halafu ndiyo mje muondoe boliti usoni mwetu.
 
Lisa ile kitu hata kama ni ndogo kama sindano ikiingia tu panapo ikulu lazima utajifeel
differently,by the way ni jinsi tu ya kucheza na mamsap wako hata kama una kibamia ataisoma namba!!
 
Hakuna lolote raha ya ngoma ni mdundo kaka ndiyo unaoamsha mzuka.
 
ila nyinyi mnapokuwa na something ndogo kama kijiko cha cha na mnatakiwa kukoroga pipa la maharage mnashindwa sisi mbona hatulalamiki? iweje nyinyi mnatuona mizigo ktk 6 x 6 . ondoeni vibanzi kwenye macho yenu halafu ndiyo mje muondoe boliti usoni mwetu.

hilo pipa ni maumbile au tembo alipita??
 
sitaki hata kuwasikia jamani hawa wanaume wanakera sana, mwanaume hasifiwi sura mwanaume halisi anavaa sura ya kazi hata ukimwona utamjua tu. lakini hawa washinda kwenye dressing table kazi siwapendi kabisa.
 
Back
Top Bottom