Wanaume "warembo" ....mnachusha!

Wanaume "warembo" ....mnachusha!

Hao wano shinda salon kijilemba na kujichubua si wanaume hao ni wakiume!

Ila usafi ni muhimu! Kushinda salon na kujilemba hii ni kitu kingine kabisa!
 
Kwa msingi huu kuna
element ya ushoga inaanza kuota mizizi kwenye jamii yetu. Mie baba yenu
nikiamua bomba sijui mambo ya kuupara wala kujisoapsoap. Mwanaume si
sura bali shughuli jamani. Hao wanaojipara wasitukane watakapoambiwa
mambo?

teh teh,mkuu hao wa kuupara ndo wale wale wanaopenda kulelewa na mimama kubwa au miba kubwa, mwanaume kazi bwana urembo shughuli ya mwanamke
 
Eti mwanaume mrembo yukoje?

......mapowder, lip glos, mbwembwe nyiingi, haongelei pesa stiry zake ni nguo, viatu, viwanja, mademu wanavyomzimia...sharohiphop, cream usipime....hachezi mbali na kiooo nknk



 
mleta uzi ubarikiwe sana maana kwakweli wanaume wamezidi kujiremba wakati mwingine wanatuzidi had sie wanawake loh! yaan wanaboa ile mbaya,mm huwa nikikutana na wa type hiyo huwa siitikii ht salam zao,natumaini ht humu baahi yao wapo,tafadhalini jirekebisheni.
 
...Kuna wengine wanapaka ..... lipgloss mdomoni,....'
i did this at udsm. nakuunga mkono kujiremba kama bob junia hakupendezi kwa wanaume
Hii mada imeletwa kwa hisani ya wale wanaoona wanawake wasomi ni mizigo - kina Wiyelele, Asprin, nkWapi mamaa Kongosho, Ciello, Smile, na wengine tulonge?
MMU imegeuka uwanja wa mipasho!? kwa nini umeona need ku-respond uzi wa yule kituko, umesahau kwamba, "ukimkimbiza chhizy ____________"
 
Last edited by a moderator:
Urembo na usafi ni vitu viwili tofauti.
Kukata kucha saloon, au kufanya urembo wowote zaidi ya haircut au kuzishibisha dreadlocks ni too metrosexual.
Ila kama unazungumzia perfumes au lotion ... hiyo itakuwa ni dalili kuwa wewe ni mwanamke mchafu.
kweli tunatofautiana sana katika uelewa.
"Urembo" beauty na "utanashati" "smartness/well groomed" ni vitu viwili tofauti!
Urembo ni obsession na attributes za KIKE ZAIDI.
Utanashati ni usafi unaotakikana kwa wote na haijalishi ke au me!
 
mleta uzi ubarikiwe sana maana kwakweli wanaume wamezidi kujiremba wakati mwingine wanatuzidi had sie wanawake loh! yaan wanaboa ile mbaya,mm huwa nikikutana na wa type hiyo huwa siitikii ht salam zao,natumaini ht humu baahi yao wapo,tafadhalini jirekebisheni.

Umeona ehhhh?
Halafu kuna wanaocharuka hapa utadhani wao ndio wamesemwa!
Kuna USAFI/UTANASHATI - HUU MUHIMU
KUNA "UREMBO" Kuuutwa kushinda salon na wanawake! Nyumbani kugombea dressing table na vipodozi.
REMBEKA LAKINI GANGAMARA mtoto wa kiume!
 
kha!! naona wanawake wa jf iliwagusa saa mada ile ya wanwake wasomi wanabugi ikija uwanja wa mapenzi. kubalini kukosolewa jamani sii ndio mwajifunza lol
kuhusu wanaume kuwa warembo kweli na sie tunabugi hapo. sasa na nyie kwenye hilo suala tunaomba muache kuwa waongo....maana demu wajipamba mpaka twadanganyika. **** mchina nono mchina rangi umejichubua.
 
Hahahahha! Hakyanani Wiyelele kakushika pabaya lol

Waweza nitaka radhi au waweza nithibitishia ni wapi nimetamka wanawake wasomi ni mzigo?

FYI mke wangu ni msomi mzuri tu nahaijawahi tokea akawa mzigo kwangu. Infact huwa najilaumu sana na kujuta kwanini nilichelewa kumfahamu na kumuoa.

Narudia tena, nitake radhi.

tena kuoa mwanamke ambaye hajasoma ni mzigo kwa taifa. na ikitokjea ukampenda mmoja mpele shule haraka
 
Last edited by a moderator:
Hahahahha! Hakyanani Wiyelele kakushika pabaya lol

Waweza nitaka radhi au waweza nithibitishia ni wapi nimetamka wanawake wasomi ni mzigo?

FYI mke wangu ni msomi mzuri tu nahaijawahi tokea akawa mzigo kwangu. Infact huwa najilaumu sana na kujuta kwanini nilichelewa kumfahamu na kumuoa.

Narudia tena, nitake radhi.

Preta wangu ana madigrii yake lakini si msumbufu wala mzigo kwangu, maisha yapo poa, yeye ni kama encyclopedia kwangu! Wa Wiyelele ni mwanamke msomi asiyeelimika!!
 
Nilivyosema kupungua nilitumia lugha ya kidiploamasia tu

Lakini jibu labda 1kati ya 1m. almost nehi

bora sie tunapungua...wanawake wa kweli ndio hamna kabisa wamebaki sampilu ya wanawake tuu
 
Back
Top Bottom