Wanaume warefu weupe

Wanaume warefu weupe

Akili ndogo saana..... Etu uzuri wa mwanaume pesa.....hapo hapo unalalamika mara kitandani hamna kitu....

Sijui Ni nan aliyewaroga baadhi ya wanawake hawajui nn wanataka in relationship.....

With This mentality.....mtaendelea kuumizwa deile...
mzee wa mita 200 kwan we n mweupe
 
huu uzi usije ukasababisha vijana weusi waanze kujichubua kwa kudhani kuwa mweupe ndio uhandsome
 
Mawazo yako Mkuu kila mtu na machaguo yake
Sasa kwa nini muwapondee ati. Mti wenye matunda ndio hupigwao Mawe. Ila majamaa yana mbegu bora sana mkifyatua mtoto anakuwa wa ukweli ndio maana wanawake wengi wanawapapatikia wanaishia kupigwa alafu kisha wanaanza kuwaponda kama mtoa mada.
 
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
mkuu umepigwa kibuti nini

Nyie semen muonavyo but ukweli utabaki palepale na wahusika wanajijua kabisa na hayo wanayafanya sijatendwa wala nn na kwanza siwez shobokea hao coz hawanivutii hataa me napenda chocolate color na weusi sio hao watu aisee tena mwingine unakuta weupe wenyewe mbaya kama sabuni za komoa lakini linajisikia ka limwanamke chefuuuu
 
Fanya siku utadadavue na sisi tusioeleweka kala yetu.
Sio weupe sio weusi...ilimradi tupo tupo tu
 
Nyie semen muonavyo but ukweli utabaki palepale na wahusika wanajijua kabisa na hayo wanayafanya sijatendwa wala nn na kwanza siwez shobokea hao coz hawanivutii hataa me napenda chocolate color na weusi sio hao watu aisee tena mwingine unakuta weupe wenyewe mbaya kama sabuni za komoa lakini linajisikia ka limwanamke chefuuuu
Ha ha ha ha ha ha ha

Daaah
 
Hata weusi pia,,akiwa handsome anajisikia na kuringa nenda sasa ana kibamia pilipili ,,kumbe wanaringa ili tusijue vipilipili vyao wanajihami
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom