Usikute na ww unapenda ungekuwa na Mtt mrefu mweupeKwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
Bila shaka wewe ni mweupe na mrefu!Uo Utafiti wako umeufanyia wapi?Kwa muda gani?Is It Scientific?O You just written Without Any Proof &Evidence.!Tupe respondents wako na wapi umepata Data,.Msije ifanya Jamii Forum Ikashuka Thamani Kama facebook
Ulimkopesha nyapu? Hili povu sio la nchi hii.Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
pointmleta uzi una personal problems na na wanaume weupe,, sijui walikutenda sana au vp!!! hakuna uthibitisho wowote kuhusu tuhuma hizo ulizotaja, zaidi ni tabia "personal characters/traits" ambayo haina uhusiano na rangi ya mtu!