Wanaume warefu weupe

Wanaume warefu weupe

Mleta uzi kama alikuudhi partner wako tabia zake usiziinclude na wanaume wengine. Pia umeaema uzuri wa ME ni pesa sasa ww ulitaka ahangaike kukuridhisha kitandani wakati ameshakupatia Pesa kitu ambacho ilikuwa hitaji lako. Mimi nashindwa kuelewa wanawake huwa wanapenda nn sasa unataka hela halafu na kuridhishwa chagua moja.
 
I disagree, sio wote

ila kiukweli tutaendelea kuwagegeda hivyo hivyo tu maana preferences zenu halisi hazifahamiki..

I wonder kama huyu uliyemwandika anajijua?

kooogh, napita tu
 
Ulimkopesha nyapu? Hili povu sio la nchi hii.
e4756e486f59e8c277b35dd20cd2432c_monstrous-its-not-crys-laughing-hard-meme_200-200.jpeg
 
Mimi ni mrefu mweupe(ingawa sipendi kusikia ivo) siwezi kusema kuwa naringa ila I never settle for less than what I deserve, Afu siyo kwamba tunaringa but sometimes tunagundua kuwa demand yetu ni kubwa kuliko.....wengine tunasumbuliwa na school girls mpaka wale wenye umri wa mama zetu, what do you expect😉??
Unakutana na Manzi usafi ziro, kitandani ziro afu bado anataka pesa zangu teh teh teh.....Bora unione mwanaume suruali tu....Ngastukale na machale kundesa😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom