Wanaume warefu weupe

Wanaume warefu weupe

Ni nchi gani dunian inayoongoza kwa Watafiti kama Tanzania?
 
Hahaha jamaa kakubwaga ndo unaleta mrejesho kuna kauli inasema nyie ni wakuchapa na kuondoka
#In jokes voic
 
Nazidi kuwaona wahusika badiliken aiseeee hizo tabia sio hakuna mimi kutendwa wala kubwagwa tena imeongezeka na nyingine nyinyi refu jeupe ni wachoyo pia daaah
 
TE="Rjjuniour, post: 20556987, member: 426022"]Unasema uzuri pesa huku unasema kitandani zero, ww mwenyewe hujui nn unahitaji kwa wakati gani.[/QUOTE]
Hahaha humu kila anayejisikia kupost apost, chochote kile pumba na ngano vyooote
 
Wacha we, utakuta ulionesha dalili za kumtaka mkaka ambae ni mrefu na mweupe, halafu akakupotezea kimtindo au akakukataa kabisa ndo maana ukaja humu kumuanzishia thread Principle girl
Huyo kashachezea kiraba baada ya kujirahisisha wee. Af hamna alichoambulia zaidi ya kupotezewa!
 
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
Ushakopwa. Pole. Vumilia maumivu.
 
We sema unatabia ya kujitongozesha ukiona mwanaume mweupe,sasa ubaya wake ni kwamba ht km mwanaume anajua mapenzi ukijileta no romance unapigwa dudu na kumwagwa siku hiyo hiyo ...mimi mweusi tiii na mrefu asante...
Huyu shobo zimemponza, kaliwa af alitegemea kuwe na mahusiano ya kudumu jamaa kamkataa!.
Hii ni dhahiri na kilanga chake humu full povuu
 
hiyo tafiti yako umeifanya kwa watu wangapi ebu tupe sample ya idadi uliyoitumia kupta best result coz nijuavyo mm ukiwa na sample kubwa na result uipatayo ni lazima itakuwa nzuri
 
UKIONA MTU ANAKUWA KM NGUNGI WA THIONGO AU SEMZABA AU ZAINAB MWANGA UJUE YAMEMKUTA UYO
 
Tatizo binti sura kama yangu ,then unataka mwanaume mrefu mweupe ,umekula za uso ndio umekuja kumwaga povu kali hapa

Pole ,tafuta wa size yako dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom