Wanaume warefu weupe

Wanaume warefu weupe

Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
Kwahiyo ndo umeamua kumpa makavu live
 
kwa hiyo kutembea na wanaume wawili wa tatu nao ni utafifi wa kuhukumu mamilioni wa wanaume wa tz weupe?
 
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
Sifa ya mtoa uzi huu
Nimwanamke anayependa kuwashobokea wanaume warefu weupe tena wasio mpenda na hawamjali katika uhusiano.
 
Akili ndogo saana..... Etu uzuri wa mwanaume pesa.....hapo hapo unalalamika mara kitandani hamna kitu....

Sijui Ni nan aliyewaroga baadhi ya wanawake hawajui nn wanataka in relationship.....

With This mentality.....mtaendelea kuumizwa deile...
Wamevurugwa hawa, hata kinyonga habadili rangi hovyo namna hii.
 
mleta uzi nadhani wewe ulimaanisha tetesi na sio utafiti
 
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
U hurt?!on some stress coz of him?!get peace stay with me, ulipo nipo.
 
Akili ndogo saana..... Etu uzuri wa mwanaume pesa.....hapo hapo unalalamika mara kitandani hamna kitu....

Sijui Ni nan aliyewaroga baadhi ya wanawake hawajui nn wanataka in relationship.....

With This mentality.....mtaendelea kuumizwa deile...
Wanataka pesa mkuu, wale ni kama banda la tigopesa, huna hela utaambiwa uzuri kama mwenyeK, uwe nazo umtimue utasikia ana kibamia wakati siku tatu nyuma alilia ooh kubwa inakuta sijui wapi na wapi..shit, women are you really humans?!
 
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
Humu jf hamjafunga kwarezma?
 
Bila ya shaka huu ujumbe unampelekea mtu ambae alikuwa Ubavu wako, na ulivutika kwake kutokana na sifa tajwa hapo juu.
Sasa mmezinguana, unatumia sifa zilizokupeleka kwake kuwa udhaifu wa wanaume wa aina hiyo.
Kuanzia sasa, tafuta Mfupi mweusi tii, na bonge la kitambi, baada ya kupeana unyago mara 2 au 3 na yeye tuletee mrejesho wao nao wapo vipi.
 
Umaonekena unawapenda sana wanaume warefu weupe, tatizo linakuja unataka uwe nao wengi kwa wakati mmoja sasa wanakukatalia sababu we kicheche, mi ni mwanaume mrefu mweupe handsome nachelea kusema kuwa sikutaki!!!
 
Hatamimi pia nakuunga mkono ,Huyo anapenda shobo kwa wanaume weupe warefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom