Wanaume wapole hawana bahati

Wanaume wapole hawana bahati

Upole is a relative term, sijui upole wa degree ipi. All in all upole wenye tija sawa.
 
heeeee!wanaumewapole niwaongo tena matapeliwampz,kiukweli nawachukia boy waivo,boramkorofi au anaependa umaarufu utajua jinsiyakujiandaa kulikompole.
 
kuna kuwa mpole na kuwa zoba....hapo unashindwa kutofautisha
 
Me napenda mwanaume mkimya na syo npole..mwenye maamuzi yake''akisema noo inakuwa noo kwel !!
 
Kumbeeeee! Leo ndio nimefahamu kwanini katika umri huu nilionao idadi ya wasichana niliowahi kuwagegeda(ukimuondoa mama kayayii) hawazidi 5! upole umeniponza hadi hapa jf!
 
Kumbeeeee! Leo ndio nimefahamu kwanini katika umri huu nilionao idadi ya wasichana niliowahi kuwagegeda(ukimuondoa mama kayayii) hawazidi 5! upole umeniponza hadi hapa jf!

Pole sana wenzio ungekuwa ni mche wa sabuni basi ungekuwa umeshaisha maana sina hakika kwa kuwahesabu sijui wanajaa kwenye Fuso ngapi!!😀😀:what:
 
Si kweli, ni tabia ya mtu, na ujue kuna tofauti kati ya mkimya na mpole.
 
Ni kweli kabisa SISI WAPOLE huwa hatuna bahati na kibaya zaidi mademu huwa wanatuponda eti hatun swagger!

Wasichana viumbe wa ajabu sana hawa wakiwe kwenye teens stage!Bila kumfanyia makeke hata kugeuza kapelo na kugaa raba over size atakuona kavu!

Wanapenda sana "yoo wasap" huku umepiga mlegezo wa jeans bila mkanda ehehee
 
Tatizo lenu mnaleta upore hata mkikabidhiwa K muikojoreshe, unapopewa K na Mwanamke acha kazi nyingine fanya kazi uliyopewa.

Hata kama una mapesa kama mwanamke anakukabidhi K mahaba yaishie kwenye romance tu mbunye haitaki upole unaipa kibano cha uhakika. Ndani ya sita kwa sita hakuna adabu wala ustaarabu mtie madole piga wowowo lake vibao na huo umegaji wetu masela hakuna cha yoo hapo.
 
Ni sahihi kabisa,hawa wanawake ukiwa mpole wanakuona -----..usipokuwa unaeleweka ndo wanatulia..
 
Back
Top Bottom