miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Kumbee!! ndio maana ..... basi nimeshajua.
Jamani wewe unanikosea
Kumbee!! ndio maana ..... basi nimeshajua.
Jamani wewe unanikosea
Wee.hao wapole wabaya sana wanamegakimyakimya alafu wanajikausha kauuu!!
Nakukosea nini tena?
Kufikiri unayofikiri
Mie napenda mtu mpole tena aww mtulivu na asiyekuwa na mbwembwe kabisaaa
Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya, wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana.
Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda wanaume micharuko, wenye kupenda mademu wengi, wenyekupenda kuonekana, mbwembwe na wapenda umaarufu.
Je kuna ukweli katika hili?
Ha ha haa anatunga sheria mpaka anakanyagwa!!!
yani kila nnachoongea ye ni ndio hakatai nakuwa kama mgombea bana kumbe mpenzi wa mtu...
mwanaume akiwa mpole naona gragh ya mvuto nayo inashuka anakuwa kama zuzu upole mwachie kobe bana....
mimi napenda mwanaume mwenye hela