Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya, wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana.
Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda wanaume micharuko, wenye kupenda mademu wengi, wenyekupenda kuonekana, mbwembwe na wapenda umaarufu.
Je kuna ukweli katika hili?
Inategemea ntu na ntu...wengine tusikujue kuwa ni player...
Tyta acha uroho wa pesa hapa thread ni kuhusu wanaume wapole.love is expensive
mimi napenda mwanaume mwenye hela
love is expensive
Tyta acha uroho wa pesa hapa thread ni kuhusu wanaume wapole.
Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya, wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana.
Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda wanaume micharuko, wenye kupenda mademu wengi, wenyekupenda kuonekana, mbwembwe na wapenda umaarufu.
Je kuna ukweli katika hili?
UNA mbwembwe ZA KUKURUPUKA....TAZAMA SIGNATURE YA miss chagga UTHIBITISHE KAULI YAKO...
Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya, wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana.
Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda wanaume micharuko, wenye kupenda mademu wengi, wenyekupenda kuonekana, mbwembwe na wapenda umaarufu.
Je kuna ukweli katika hili?
Utafit Wako Sio Kwel. Kuna Rafik Yangu Tulikua Tunasoma Nae. Alikua Mpoleeee Yan Mkimyaaa ila Alikua Anawatia Mimba Madem Kimya Kimya Yan Huwez Amin. Mara Jack Kajifungua Mtoto Mara Agnes Anamimba Mara Yule Anatembea Nae Yan Full Kuwachanganya Tu.
love is very very expensive .... without money no love
Huu ni ukweli mchungu wanaume wengi hawapendi kuusikia.