Kila ndege hutua mti aupendao... Sio porojo hizi ni misemo na ina maana kwenye maisha... Nina kuhakikishia huwezi kua wewe ni demu unae penda clubs, pool party, tungi, showoffs, yani inshort vurugu zote mujini wewe una zijua afu eti umpende mwanaume ambae ukimwambia baby twende club ana kujibu mimi sio mtu wa club bwana, baby twende kwenye birthday ya queen, mimi sina muda wa birthdys yangu mwenyewe ilisha ni shinda kufanya.. Mara bae nxt week ni instagram party it will be crazy ana kujibu uta enda wewe sasa mimi nafata nini huko? Sasa wewe demu huyu sio type yako. Type yako ni yule anae jua ni lounge gani kali mujini yenye beer cheap na cocktail party yani mwenye mavurugu yote mujini, viwanja vyote town ana jua yeye... Hivo hivo demu mtulivu ata penda kua na mwanaume mtulivu.. Hata mm sipendi demu mcharuko mwenye showoffs 800 na perepere kibao yani kelele zote mjini ana jua yeye, kujifanya ana ishi maisha ya kina jlo, mara beyonce. Na siku zote ukiona mwanaume yuko na mademu au demu wa type hio yani mwenye machepele na vurugu za mujini huwa ni kwajili ya showoffs tu hana mpango nae una kuta jamaa ana demu wake wa ukweli pembeni katulia tena demu wa kawaida tu... na hiko hivi wanaume baadhi tuna kua na mademu wa wili wa' showoffs 'na wa' future ' hawa wa future huwa tuna waheshimu sana tukifika kwao tuna kua wapole, tuna wasikiliza na tuna wafanyia wanacho taka.. ila hawa wa showoffs huwa tuna waburuza tu na huwa wana ganda sana kwako wakijua una wapigisha bata ataanzaje kususa sasa wakati ujanja wake unao wewe..