Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Why do gud gals love bad boys.?
We satisfy there needs.
Why do gud gals love bad boys.?
kama mimi ndo bahaati haipo kabisa utadhani nimelogwa...!
Wee.hao wapole wabaya sana wanamegakimyakimya alafu wanajikausha kauuu!!
Na hautakaa umpate,jinsi dunia ilivyo ya ajabu. Wasio na habari na mashefa ndio wanapangiwa msululu.
We satisfy there needs.
Nimesoma mahali eti "in general Men are idi.ots and Women are crazy" so mdada bora utafute balansi tu huo uidyoti umelalia wapi, as for Men.......
Achana na kingereza, haukiwezi.
We sawa tu! yaani Eva umefikia hatua ya kuniambia mi ZUZU poa bana.mwanaume akiwa mpole naona gragh ya mvuto nayo inashuka anakuwa kama zuzu upole mwachie kobe bana....
Ha ha ha ha ha ha ha umenichekesha sana amnia...maana haya maneno huwa nayasika sana...sio kweli bana
Unaongelea wanawake au wasichana?
Mad crazyAre you crazy?
Just joking!
Kumbe single lady basi mimi mpole,mtulivu,mvumilivu nimesahau nini tena ........mkarimu.Binafsi yangu napenda mwanaume mpole yan sifa zote ulizozitaja ndo type ya mwanaume ninayempenda ila asiwe mpole too much
endelea kuona haiba za maigizo na kweli mi macho juu kama fast jetMwanamke macho juu juu haujifichi. Ata comments zaonyesha aiba.
Binafsi yangu napenda mwanaume mpole yan sifa zote ulizozitaja ndo type ya mwanaume ninayempenda ila asiwe mpole too much
Ndio kikao chenu walichokuagiza?