Escoter
Senior Member
- May 1, 2017
- 100
- 93
Habarini wana JF,
Kumekuwa na dhana mbalimbali kuhusiana na ufanisi mdogo wa mwanaume mnene kwenye suala zima la mapenzi.
Wanaume wanene wamekuwa wakiwekwa katika kundi la watu dhaifu kwenye suala zima la kumlidhisha mwanamke kitandani.
Wanasayansi wanasema "no research no right to speak" i have made no research towards this issue, Je ukweli upoje?