Wanaume wanene na uwezo kitandani

Escoter

Senior Member
May 1, 2017
100
93
Habarini wana JF,

Kumekuwa na dhana mbalimbali kuhusiana na ufanisi mdogo wa mwanaume mnene kwenye suala zima la mapenzi.

Wanaume wanene wamekuwa wakiwekwa katika kundi la watu dhaifu kwenye suala zima la kumlidhisha mwanamke kitandani.

Wanasayansi wanasema "no research no right to speak" i have made no research towards this issue, Je ukweli upoje?
 
Vibamia,pre mature ejaculation,presha ,positioning ,hiv vitu havijawahi kuwaacha wanaume wanene salama
 
Kama unene ni umbo lake kiasili yaani ndio maumbile aliyopewa na Mungu basi kila kiungo kitafanya kazi vizuri lakini kama unene chanzo chake ni tabia mbovu ya kula basi lazima viungo visifanye kazi kwa ubora ule ule.
Ok get you ndg..
 
Habarin wana JF.
Kumekuwa na dhana mbalimbali kuhusiana na ufanisi mdogo wa mwanaume mnene kwenye suala zima la mapenzi, wanaume wanene wamekuwa wakiwekwa ktk kundi la watu dhaifu kwenye suala zima la kumlidhisha mwanamke kitandani., wanasayansi wanasema "no research no right to speak"..i have made no research towards this issue, Je ukweli upoje?
Google lemutuz kibamia utapata utafiti wa kina ukiambatana Na video
 
Msukumo wa damu unakuwa slow plus pumzi nayo inakuwa shida...kuhema kama kakimbizwa na mbwa...na.pia dudu inanyweaga kadri uene unavyozidi na style itakuwa moja tu
 
...unene hauna uhusiano wa moja kwa moja na game kwenye sita...bali ujanja wa mtu binafsi ndio issue....ila wanene mara nyingi hawana mboro (kama lemutuz) pamoja Na kwamba kuwa na jimboro pia kwategemea walitumiaje....haya mambo yanategemea sana janja binafsi ya mtu...ila kuwa Na bamia kama leo mutuz ni janga kubwa kubwa...maana hili jamaa nashanga lawezaje kumkaza demu na ile bamia....japo lasema eti lilioga maji....hamna hiyo kitu...ukiwa na jimboro hata uoge maji liko pale pale.....wale ma bebs wanaomzunguka lemutuz huwa wanamnyonya mku.ndu si bure....maana jamaa hata pumbu halina....aibu yake...ndio maana linapendaga watoto.....vile litumie bamia yake...
 
Hahahaaa. Leo zamu yao vibonge.

Ila ndio hivyo kuna kausemi ka Tembo hashindwi na mkonga wake na ndio katakokuwa kanachukua nafasi hapo.

Hivyo nao lazima manjonjo watakuwa nayo tu ya kuweza kufikisha wenza wao huko kunako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom