Wanaume wanene na uwezo kitandani

Wanaume wanene na uwezo kitandani

Kuna wembamba pia wavivu ila wanene wamezidii
Sio wanaume tu hata wanawake wengine wenye minyama uzembe ni wavivu, ukitaka starehe pata mke mrefu wa wastani mwenye mwili asiwe kimbaumbau hadi raha. Mimi na vyanavike Andunje tofauti kabisa
 
Sio wanaume tu hata wanawake wengine wenye minyama uzembe ni wavivu, ukitaka starehe pata mke mrefu wa wastani mwenye mwili asiwe kimbaumbau hadi raha. Mimi na vyanavike Andunje tofauti kabisa
[emoji23] [emoji23] vyanavike
Kwani viandunje vinashida gani? [emoji28]
 
hii mada ilipaswa kujibiwa na watu wenye majibu ya uhakika ambao ni mabinti tu!
 
Hahahaaa. Leo zamu yao vibonge.

Ila ndio hivyo kuna kausemi ka Tembo hashindwi na mkonga wake na ndio katakokuwa kanachukua nafasi hapo.

Hivyo nao lazima manjonjo watakuwa nayo tu ya kuweza kufikisha wenza wao huko kunako.

Mhh paseme
 
Dah yaan mm ke mwembamba huwa nawaonaga tu ila mnene kiboko yangu. Maana wife alitaka kafanya diet nkamwambia ajiandae kwa matokeo ya badae. Huo ufundi kama umeridhka na mtu huwezi hata yafikiria
 
Unajua kuna tofaut kubwa kati ya mtu kuwa mwembamba(model) na kuwa na afya mgogoro(kukonda). Watu wengi waliokonda wanapenda kujifarij kuwa wao ni wembamba hivyo ni rijali zaidi kwenye mapenzi kuliko wanene, kumbe sio kweli kukonda kwao hakuongezi chochote kwenye performance(sex) badala yake hugeuka kero kwa kukosa body stamina kunakotokan na sababu za kukonda kwao kama magonjwa,matumizi ya madawa ya kulevya na udunifu wa chakula cha kutosha.
NB: Wanaume wembamba wanatakiwa wawe na afya njema ambayo inaendana na nguvu za mwili ambazo hata mtu mnene anazo,kinachowafanya wanaume wembamba kuonekana bora zaidi kwenye suala la mapenzi ni kwamba wao ni flexible wanaweza kupinda kulia au kushoto juu au chini ilimradi wamridhishe mwanamke, sasa kwa hawa ndugu mabonge kuna baadhi ya stail hawawez kuzitumia kutokana na body structure yao.. kitu kama kitambi ni kikwazo tosha kumfanya mwanaume apitishe mashine vizuri kwa mwanamke hasa huyo mwanamke akiwa zoba kitandani(hajishughulishi).
 
Back
Top Bottom