Wanaume tuache kuwananga wanawake, tumeyataka wenyewe

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
7,313
Reaction score
19,955
Kumekuwa na mfururizo wa nyuzi za kuwashambulia wanawake kwa njia mbali mbali sijui wanawake wa siku hizi ni hivi na vile, lakini haya yote chanzo ni sisi wanaume.

Na sema hivyo kwa sababu wanaume wa kizazi cha sasa tunajifanya kuwajua sana wanawake kuliko Mungu aliye waumba, mungu ndiye aliye muumba mwanamke alijua hatari yake na ndio maana akaweka sheria za kumdhiti na zipo kwenye vitabu vyote vya dini kuanzia Qruani,biblia na hata kwenye kitabu cha mayahudi lakini kwa ujuaji wetu hizo sheria tunaziita eti ni ukanda mizaji.

Vitabu vya dini vina sema mwanamke hamtakiwi kupewa mamlaka ya kufanya maamuzi ndani ya jamii lakini ss ndo kwanza tunawabeba kwa mbereko ya viti maalum ili waingie kwenye taasisi za kufanya maamuzi ndani ya nchi.

Vitabu vya dini vina sema mwanamke ana takiwa ahudumiwe na mmewe lakini wanaume wa sasa wana kimbilia kuowa wafanya kazi na wachuuzi ili kusaidiana maisha.

Vitabu vya dini vina sema mwanamke avae kwa kujistiri lakini wanaume wa sasa wanawaona wanawake wanao jistiri ni washamba na wanao vaa nusu uchi ndo wajanja .Na baadhi ya wanaume humu wamekuwa wakiishambulia dini fulani inayo weka msisitizo juu ya wanawake kuvaa mavazi ya heshima kuwa ni ya kitumwa na ina wanyima wanawake uhuru wa kuvaa watakavyo, lakini kwenye uzi mwingine utakuta wanaume hao hao wana lalamika njinsi mabinti wanavyo vaa nguo za ajabu mitaani sasa sijui wana kataa nini na wana kubali nn.

Vitabu vya dini vina kataza uzinzi kabla ya ndoa, mwenyezi mungu mpaka anakataza uzinzi kabla ya ndoa alikuwa na maana kubwa sana.
Kwa sasa watu wana lalamika ndoa zimekuwa pasua kichwa kwa sababu ya wanawake kuwa wasariti na kukosa uaminifu ndani ya ndoa lakini chanzo haya yote kina julikana ila tuna jitoa ufahamu tu.

Chanzo cha usariti ndani ya ndoa ni kwasababu wanawake wengi kwa sasa wanaolewa wakiwa tiyari wamesha kuwa malaya, kwa sasa ni kawaida kwa binti wa miaka 18 kukuta anamiliki wanaume 4 na wote ana wahudumia kingono na mpaka anafikisha miaka sijui miaka 25 tiyari amesha tembea na wanaume si chini 20 hivi kwa mwanamke kama huyo ukimuowa utakuwa na lipi jipya la kumfanya kitandani mpaka atulie ndani ya ndoa ?
Kiufupi hili naliongea bila hata kupepesa macho wanaume wengi sasa hivi wana owa malaya walio jivika utakatifu wa kinafiki wa kuudhuria kwenye nyumba za ibada bila kukosa na ndio maana usariti ndani ya ndoa umekuwa to much.

Mwana mke asipo dhibitiwa ni kiumbe hatari sana ndani ya jamii na ndio maana Mungu aliweka sheria za kumdhibiti lakini ss kwa ujuaji wetu tuna ziita eti ni ukanda mizaji dhidi ya wanawake sasa tutulie mpambane na hali zetu .
 
Nmetamani saana kuongea jambo hapa ila Kila nikiusoma huu uzi wako naona umemaliza yote [emoji419][emoji419]
 
Kwenye maisha yangu nilichokuwa naombea ni kupata mwanamke anayenipenda na mwaminifu baasiii- mengine ningemsaidia Mimi 😅😅😅
 
Kwenye maisha yangu nilichokuwa naombea ni kupata mwanamke anayenipenda na mwaminifu baasiii- mengine ningemsaidia Mimi [emoji28][emoji28][emoji28]
"Usimnyoshee kidole mwenzio kwenye jicho lake kabla hujatoa kilichomo kwenye boriti ya jicho lako" si mimi niliyenena hayo bali ni Yesu (Mungu).

Yani, ulipokuwa unaombea upate Mke mwema we mwenyewe ulishajikana nafsi uishi katika mfanano wa Mume bora au ndiyo ulikuwa unaishi katika "style of eat and run (lover boy)" ilihali unataka kilicho chema?

Mungu si mnafki hata kwa sekunde 1 tu [emoji23]
 
Upo sahihi kwa upande wako ,siwezi kukubishia mkuu
 
Sometimes huwa nikitafakar sana naona kumbana mwanamke wangu awe ana lala na mimi tu kila siku ni kama namnyanyasa

nI bora mara moja moja akawa anakutana na changamoto mpya kama akipenda,tusijibane sana
 
Ndiwe ulilambwa nundu na Ke kwenye ule uzi wa kipumbavu?

Nina wasiwasi na jinsi yako ikiwa ni Me rijali la sivyo kuna mahali dishi lako linayumba.
 
Kumekuwa na mfururizo wa nyuzi za kuwashambulia wanawake kwa njia mbali mbali sijui wanawake wa siku hizi ni hivi na vile, lakini haya yote chanzo ni sisi wanaume.

Na sema hivyo kwa sababu wanaume wa kizazi cha sasa tunajifanya kuwajua sana wanawake kuliko Mungu aliye waumba, mungu ndiye aliye muumba mwanamke alijua hatari yake na ndio maana akaweka sheria za kumdhiti na zipo kwenye vitabu vyote vya dini kuanzia Qruani,biblia na hata kwenye kitabu cha mayahudi lakini kwa ujuaji wetu hizo sheria tunaziita eti ni ukanda mizaji.

Vitabu vya dini vina sema mwanamke hamtakiwi kupewa mamlaka ya kufanya maamuzi ndani ya jamii lakini ss ndo kwanza tunawabeba kwa mbereko ya viti maalum ili waingie kwenye taasisi za kufanya maamuzi ndani ya nchi.

Vitabu vya dini vina sema mwanamke ana takiwa ahudumiwe na mmewe lakini wanaume wa sasa wana kimbilia kuowa wafanya kazi na wachuuzi ili kusaidiana maisha.

Vitabu vya dini vina sema mwanamke avae kwa kujistiri lakini wanaume wa sasa wanawaona wanawake wanao jistiri ni washamba na wanao vaa nusu uchi ndo wajanja .Na baadhi ya wanaume humu wamekuwa wakiishambulia dini fulani inayo weka msisitizo juu ya wanawake kuvaa mavazi ya heshima kuwa ni ya kitumwa na ina wanyima wanawake uhuru wa kuvaa watakavyo, lakini kwenye uzi mwingine utakuta wanaume hao hao wana lalamika njinsi mabinti wanavyo vaa nguo za ajabu mitaani sasa sijui wana kataa nini na wana kubali nn.

Vitabu vya dini vina kataza uzinzi kabla ya ndoa, mwenyezi mungu mpaka anakataza uzinzi kabla ya ndoa alikuwa na maana kubwa sana.
Kwa sasa watu wana lalamika ndoa zimekuwa pasua kichwa kwa sababu ya wanawake kuwa wasariti na kukosa uaminifu ndani ya ndoa lakini chanzo haya yote kina julikana ila tuna jitoa ufahamu tu.

Chanzo cha usariti ndani ya ndoa ni kwasababu wanawake wengi kwa sasa wanaolewa wakiwa tiyari wamesha kuwa malaya, kwa sasa ni kawaida kwa binti wa miaka 18 kukuta anamiliki wanaume 4 na wote ana wahudumia kingono na mpaka anafikisha miaka sijui miaka 25 tiyari amesha tembea na wanaume si chini 20 hivi kwa mwanamke kama huyo ukimuowa utakuwa na lipi jipya la kumfanya kitandani mpaka atulie ndani ya ndoa ?
Kiufupi hili naliongea bila hata kupepesa macho wanaume wengi sasa hivi wana owa malaya walio jivika utakatifu wa kinafiki wa kuudhuria kwenye nyumba za ibada bila kukosa na ndio maana usariti ndani ya ndoa umekuwa to much.

Mwana mke asipo dhibitiwa ni kiumbe hatari sana ndani ya jamii na ndio maana Mungu aliweka sheria za kumdhibiti lakini ss kwa ujuaji wetu tuna ziita eti ni ukanda mizaji dhidi ya wanawake sasa tutulie mpambane na hali zetu .
Bila shaka una maanisha tuwe WATALIBAN.
 
Mwanamke ni mama, yeye kama mlezi wa karibu wa watoto akiwalea watoto kwenye maadili , jamii itakua na maadili , ila kama mama ataangaika na pesa tu nakusahau malezi , jamii kila siku italalamika kuhusu wanawake .
 
Sheria zipi alizowekewa mwanaume kwenye vitabu vya dini?? au hujui maana ya sheria?
 
Back
Top Bottom