Wanaume wanataka nini?

Anhaaa kumbeee.....

Nshaelewa!!!!
 
Eli79....swali gumu sana hili

...naomba jibu tafadhali, coz nahisi mnatunanga bila sababu ya msingi. Kuna possibility wanawake walio wengi hawajui nini wanahitaji katika maisha, that's why wengi wanaishia kuumizwa katika mahusiano Yao.
 
Last edited by a moderator:
Ivi kuna Mtu anaweza kujitoa kwa Mtu mazima Na mwenzake asielewe Hilo?

Anaweza kujua ila kwa sababu ametawaliwa na tamaa akashindwa kujicontrol au asione kabisa badala yake akakuona we mpuuzi tu kama wapuuzi wengine
 
Take my words .. men are selfish . Totaly selfish hata umlambe miguuu hawezi kuridhika..ni sawa na kuchotea maji kwenye gunia...

Will you marry me? Am a son of God. Never will İ be selfish as far as mgegedo is concerned....
 
...naomba jibu tafadhali, coz nahisi mnatunanga bila sababu ya msingi. Kuna possibility wanawake walio wengi hawajui nini wanahitaji katika maisha, that's why wengi wanaishia kuumizwa katika mahusiano Yao.

Mimi nahitaji mtu anayejitambua kwanza kwamba yeye ni MWANAUME,mwenye promising future,mkweli na muwazi.....anajiheshimu na kuheshimu wengine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…