kuna wrong selections nying znafanywa kwenye mapenz. Tena nyngne mtu anafanya akijua kabisa kwamba anachagua mtu ambae si wa type yake lakn anashawishiwa na vitu kama pesa, u handsome, nk na anawaacha matches wake pemben matokeo yake ndo hvyo tena
Pole kwa maumivu
Hiyo sacrifice ndo inawaangusha na kujikuta kwenye 6*6..... this match its easy to play...... good women know a tricks to fit kwa relation yake
=Don't be a girl, be a woman you can't regret ever
Ni ngumu kueleza mkuu kilambalambila. Kwan patner hadi awe maskini? Anaweza akawa maskini jeuri au hamuendani ....ukampata mwenye pesa ambaye ni wako haswaaa....hayanaga fomular haya makitu
Waga wanashangaza kwakweli
tumboo!!!!!
Hahahah....hivi hum ndani unamsomaje mtu...id fake, avatar fake na sometimez ideaz zinakuwa fake. Ni kujilipuwa tu mkuu liwalo na liwe
basi tupigeni magoti tusali tumuombe Mungu yeye ndo anajua yote mkuu sisi tumeshashindwa
Katika hili hata MUNGU hawezi jibu. Wewe unamuomba wakati macho umeyaelekeza kwa mtu flani, na mbaya zaidi mmeshavuliana nguo..! Huyo mungu hayupo, labda awe mungu wa kizazi kipya...!
kwa kipi nilichokunyima miss chagga, ww ndio ulininyima kitu hadi leo nasubiria.
This is what miss chagga calls selfishness
Hata ukijifanya kumsoma mtu hapa unaweza kupata maumivu maana unachokiona inawezekana ni contrary kabisa na maisha halisi ya mtu
Ooh swty...kujitoa means unajiweka kwa mtu mazima....unakuwa tayari kusupress feelings zako zingine ili kudumisha mahusiano.