REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,961
Wengine wote kasoro wewe ba ntilie wangu
asante malkia wa ulimwengu wa mapenzi ya kweli
Wengine wote kasoro wewe ba ntilie wangu
asante malkia wa ulimwengu wa mapenzi ya kweli
Unarud sangap my king maana naskia bard kweli leo
Lengo linakuwa kwaajili ya wawili na unapofanya unategemea na upande wa pili uwe na shukrani. Not only that....wakati mwingine unaweza ku-ignore feelings zako na kumpa kipaumbele mwenzio ukitegemea utarudishiwa shukrani. Matokeo ikiwa viceversa maumivu yake si madogo
by truelove or crimesex